Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
- Thread starter
- #21
Watu wa siasa acheni kuleta hofu kwa ambayo hawafuatilii siasa ,unavyoandika utafikiria basi shughuli nyingine haziendi.Pambaneni na imani zenu acheni watuw atafute maisha yao sio kuleta hofu.
Pre GE2025 - Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama
Jamii Africa ipo vizuri Sana,, hii ndio jamii ya waafrika tuliopo!