mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 293
- 510
mimi nimemwelewa sana mrusi ,ameshitukia mchezo kwamba akichokozwa mshirika wake basi atapoteza attention kule ambapo ni mlangoni pake akimbilie huku nae kawaonyesha hao wamagharibi hicho wanachotaka afanye si mhimu sana kwake maaana syria anaweza kubadili mshirika muda wowote na isiwe na madhara kwa mrusi ila mshirika wa ukrein ana madhara ya moja kwa moja kwa mrusi hivyo usishangae hata hata hao wasii wana weza kuwa mshirika wa mrusi hapo baadae kama walivyo washirika wa ,Marekani kwa sasa ,kwa uoande wa ukrein si rahisi tena kuwa mshirika wa mrusi maana matakwa ya vita hiyo ni kumtaka mrusi aanguke kwa naamna yoyote ile na hata kama mrusi akiamua kusimamisha vita masharti atayopewa ni magumu bora achague kuendelea na vita mpaka anguko lake litokane na vita au ushindi wake utokane na vita,hivyo urusi kwa upande wangu naona yupo sahihi kutomshika mkono assad kwa kipindi hiki .