Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

mimi nimemwelewa sana mrusi ,ameshitukia mchezo kwamba akichokozwa mshirika wake basi atapoteza attention kule ambapo ni mlangoni pake akimbilie huku nae kawaonyesha hao wamagharibi hicho wanachotaka afanye si mhimu sana kwake maaana syria anaweza kubadili mshirika muda wowote na isiwe na madhara kwa mrusi ila mshirika wa ukrein ana madhara ya moja kwa moja kwa mrusi hivyo usishangae hata hata hao wasii wana weza kuwa mshirika wa mrusi hapo baadae kama walivyo washirika wa ,Marekani kwa sasa ,kwa uoande wa ukrein si rahisi tena kuwa mshirika wa mrusi maana matakwa ya vita hiyo ni kumtaka mrusi aanguke kwa naamna yoyote ile na hata kama mrusi akiamua kusimamisha vita masharti atayopewa ni magumu bora achague kuendelea na vita mpaka anguko lake litokane na vita au ushindi wake utokane na vita,hivyo urusi kwa upande wangu naona yupo sahihi kutomshika mkono assad kwa kipindi hiki .
 
Mrusi kazidiwa hawezi kupigama two fronts,kule kwao Ukraine wamefungua two fronts imebidi aombe msaada Kwa kiduku
 
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad

Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.

Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.

Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Ukweli Mtupu! Vita ya Ukraine imemdhoofisha Putin kiasi cha kushindwa kuokoa Assad, Kingine ni hiki, Kupigwa kwa Iran kumefanya ashindwe kulinda Syria
 
Lee Van free
T14 Armata
 
Mimi naona jeshi lenyewe liligoma kupigana haiwezekani hata usaidiwe vip kama huweiz kupigana usitegemee anayekusaidia apigane kwa niaba yako
 
Iran kapigwa lini na Israel? Kumbe mabishano ni ya kidini zaidi

Sijui jamaa alikuwa na maana gani, lakini Iran imeona wakati hakuna tija tena kuendelea kuisaidia Iran, ni gharama isiyolipa, na Hezbolah iliondoa askari wake ili iweze kupambana na Isarel! Kushindwa kwa Iran ni kuwa Proxy wake wameshindwa kuleta matokea chanya kwenye mzozo huu!
 
Aisee Hivi Marekani hakushindwa tu hapa Somalia let alone Vietnam na pote alipokuwepo sio kwamba aliondoka bali alishinikizwa kuondoka.....

Tuache ushabiki maandazi Aliyekuwepo Syria na hawa walioingia hawana jema kwa Taifa la Syria ndio yale yale hata ya kuondolewa kwa Saddam, Gadaffi mwisho wa siku ni tatizo kubwa kuliko hata hao so called well wishers wanavyolikuta..., Na wakati watu wanauana kama kuku wenzao wapo kwenye biashara

There are not winners in War just Survivors....
 
Aisee Hivi Marekani hakushindwa tu hapa Somalia let alone Vietnam na pote alipokuwepo sio kwamba aliondoka bali alishinikizwa kuondoka.....
Marekani haijawahi kupigana vita Somalia.
 
Ukweli Mtupu! Vita ya Ukraine imemdhoofisha Putin kiasi cha kushindwa kuokoa Assad, Kingine ni hiki, Kupigwa kwa Iran kumefanya ashindwe kulinda Syria
Au Mimi sipo online miaka lini hiyo Iran kapigwa kama ni kurushiana ngumi Vip yale makombola yote yalikua yanatua Kama mvua uko Israel? Kweli itikadi za ukristo na uislam ni mzigo bora tuwe na Africa religion zetu
 
Marekani haijawahi kupigana vita Somalia.
The U.S. has a long history of military engagement in Somalia, extending back to the bloody 1993 Battle of Mogadishu. The failed operation, known as “Black Hawk Down,” resulted in the withdrawal of U.S. forces, which further destabilized Somalia, leaving an opening for the rise of local extremist groups.

Hizo ni operations za kukamata na kuua magaidi sio vita, mpaka leo hii bado wanafanya.
 
Na hao waliyo overthrow Syria sio Magaidi ? According to hao hao USA ?

This surprising rebel victory in Syria is being led by the most powerful Islamist group, Hayat Tahrir al-Sham, a political and paramilitary force.

It emerged from the Syrian uprising of 2011 as an affiliate of Al-Qaeda but formally broke ties with it in 2016.

What is Hayat Tahrir al-Sham?​

The Islamist militant group was set up in 2012 under a different name, al-Nusra Front, and pledged allegiance to al-Qaeda the following year.

Al-Nusra Front was regarded as one of the most effective and deadly of the groups ranged against President Assad. But its jihadist ideology appeared to be its driving force rather than revolutionary zeal - and it was seen at the time as at odds with the main rebel coalition known as the Free Syrian Army.

In 2016, Al-Nusra broke ties with al-Qaeda and took the name Hayat Tahrir al-Sham when it merged with other factions a year later.

However, the UN, US, UK and a number of other countries continue to consider HTS as an al-Qaeda affiliate and frequently refer to it as al-Nusra Front. The US has named the group's leader, Abu Mohammed al-Jawlani, as a specially designated global terrorist and offered a $10m reward for information that leads to his capture.

HTS consolidated its power in Idlib and Aleppo provinces by crushing its rivals, including al-Qaeda and Islamic State (IS) group cells. It set up the so-called Syrian Salvation Government to administer the territory according to Islamic law.
 
Au Mimi sipo online miaka lini hiyo Iran kapigwa kama ni kurushiana ngumi Vip yale makombola yote yalikua yanatua Kama mvua uko Israel? Kweli itikadi za ukristo na uislam ni mzigo bora tuwe na Africa religion zetu
Imani ni uchizi sana mkuu, eti wewe Erythrocyte kondoo,iran kapigwa lini na Israel?
 
Kupoteza ni kupoteza tu haijalishi umepotezaje.
.
 
Back
Top Bottom