Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Naam,nitakuja.
Katika watu ambao hawahangaiki na udini basi mimi nimo, Israel imepiga kiwanda cha makombora cha Iran, hii ndio sababu ya Iran kushindwa kusaidia marafiki zakeAu Mimi sipo online miaka lini hiyo Iran kapigwa kama ni kurushiana ngumi Vip yale makombola yote yalikua yanatua Kama mvua uko Israel? Kweli itikadi za ukristo na uislam ni mzigo bora tuwe na Africa religion zetu
URusi ni mandonga mtupuSisi tuliwaambia toka mwanzoni kuwa urusi hawezi peleka vikosi vyake Syria kwakuwa Ukraine inamtoa kamasi, Iran nae baada ya kichapo kutoka Kwa Israel ameufyata, Hezbollah nae hana hamu, lakini wakubeba aibu yote hii ni Urusi ambae wafuasi wake wanamuona dubu
Hapa bado sioni udhaifu wa Urusi wala siwezi kuwadharau hata kidogo,zaidi nazidi kuuona ukuu wa Urusi.
Mtoa mada ulichoandika ni furaha Yako na utashi wako.Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad
Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.
Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.
Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Iulikua unataka Urusi apigane vita ngapi?Usu
URusi ni mandonga mtupu
Kiwanda cha Makombora cha Iran kilishambuliwa na kuharibiwaWapi Iran imepigwa
US mwenyewe hawezi anachokifanya ana fund vikundi kama hivyo vya kigaidi na lengo mojawapo ni kama hapo lililotokea Syria.umemamliza russia kupigana vita multiple fronts kamwe hawezi hiyo inataka taifa liwe limejipanga kisawasawa kama US.
Malengo ya US yalisha timia akaamua aondoke zake bila shida tena. Kuna tatzoIulikua unataka Urusi apigane vita ngapi?
Mbona USA na NATO walikimbizwa na Watalaban TU?
Tena watalaban wala hawakua na msaada wowote?
Aibu ipi tena.......watu wameshakubaliana.....kila mtu katoa kafara upande wakeTaarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad
Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.
Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.
Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Wamemlia timing vibaya sana!Mrusi kabanwa Mbavu (Bog Down) pale Ukraine.
Kifuatacho ITVWamemlia timing vibaya sana!
Serikali ya georgia ni pro Russia. West wame fund vikundi vya kumtoa madarakani rais wa huko muda wote wanaandamana kuishinikiza serikali ijiunge EU.
Mbaya zaidi kama kikinuka kama kipindi cha Bush wanaweza wakazichapa na Russia mambo ikiwa mambo yakiwa magumu.
Russia mwenyewe anapambana Ukraine, huyo huyo amlinde Assad, huyo huyo amlinde Belarus na huyu huyo ailinde Russia yake, ni ngumu.
Russia inambidi abadilishe mbinu kama wenzake wamagharibi. Wenzake wanatengeneza makundi yanayopigania masilahi yao kwa kuanzisha vurugu sehemu tofauti tofauti.
Ikiwa Russia nayo ikifanya haya sijui dunia itakuwaje kwa kweli!
Na ndiyo mueleŵe kwa sasa picha imekuja wazi. Hivyo vikundi vya kigaidi havipo kwa mlengo wa dini bali kwa maslahi ya wakubwa popote pale wanapoona mambo kwao yanakuwa magumu wanatumia hivyo vikundi.
Dini wanaitumia tu kama mgongo ila si watu wa dini. Dunia ina mengi hii!
Dah nimecheka mbaya sana. Maalim Ritz nalisijdah lake kuubwaa kama full moon limezama chakaItakuwa labda bado anaswali, taarifa hazijamfikia.
Waisilamu ni rahisi sana kuwa Manipulated.Na ndiyo mueleŵe kwa sasa picha imekuja wazi. Hivyo vikundi vya kigaidi havipo kwa mlengo wa dini bali kwa maslahi ya wakubwa
Serikali ya sasa ya Waziri mkuu wa Georgia waliiba uchaguzi kuingia madarakani, Aliyeanzisha chama tawala cha sasa cha Georgia alitajirikia Urusi, Waziri mkuu ni kama Pro-Russia japo anakataa ila Rais ni Pro-West. Hata hivyo mpango wa Georgia kujiunga na Umoja wa Ulaya(EU) uko rasmi katika katiba ya Georgia, hivyo haijalishi unatoka chama au mrengo gani inabidi uutekleze tu huo mpango, kuusitisha na kuenda kinyume na katiba ya Georgia.Wamemlia timing vibaya sana!
Serikali ya georgia ni pro Russia. West wame fund vikundi vya kumtoa madarakani rais wa huko muda wote wanaandamana kuishinikiza serikali ijiunge EU.
Zelensky naye ana matatizo!Kifuatacho ITVView attachment 3172288
Ni waarabu!Waisilamu ni rahisi sana kuwa Manipulated.
Hata Ukraine kujiunga Nato lilikuwepo kwenye katiba.Serikali ya sasa ya Waziri mkuu wa Georgia waliiba uchaguzi kuingia madarakani, Aliyeanzisha chama tawala cha sasa cha Georgia alitajirikia Urusi, Waziri mkuu ni kama Pro-Russia japo anakataa ila Rais ni Pro-West. Hata hivyo mpango wa Georgia kujiunga na Umoja wa Ulaya(EU) uko rasmi katika katiba ya Georgia, hivyo haijalishi unatoka chama au mrengo gani inabidi uutekleze tu huo mpango, kuusitisha na kuenda kinyume na katiba ya Georgia.