Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

Au Mimi sipo online miaka lini hiyo Iran kapigwa kama ni kurushiana ngumi Vip yale makombola yote yalikua yanatua Kama mvua uko Israel? Kweli itikadi za ukristo na uislam ni mzigo bora tuwe na Africa religion zetu
Katika watu ambao hawahangaiki na udini basi mimi nimo, Israel imepiga kiwanda cha makombora cha Iran, hii ndio sababu ya Iran kushindwa kusaidia marafiki zake
 
Hapa bado sioni udhaifu wa Urusi wala siwezi kuwadharau hata kidogo,zaidi nazidi kuuona ukuu wa Urusi.
Mpaka hapa naiona Urusi kama taifa kubwa na lenye nguvu kubwa kabisa hapa duniani.
Iko hivi.
Urusi iliweza kumlinda Assad Kwa miaka mingi sana na hakuna alie mgusa.
Hao waliomtoa Leo walibaki kumuangalia kwa mbali Kwa miaka yote hiyo.
Sasa nauona udhaifu wa nchi zote za west na zisizokua za west zilozoshiriki kumtoa Assad kua ni nchi dhaifu mno kwa kukaa miaka yote hiyo bila kumtoa Hadi wamevizia mlinzi wa Assad ameingia kwenye vita na Ukraine Tena ukraine inayosaidiwa na nchi zote za west.
Huu kwangu ni udhaifu mkubwa sana wa nchi zote zilozoshiriki kumtoa Assad.
Hebu fikiria nchi zote za west ambazo ndani Kuna NATO,ukijumlisha na Turkey ambayo alikua amekubaliana na Assad kutoshambuliana,Jumlisha na Israel,Soud Arabia na nchi nyingine kadhaa za kiarabu kwa pamoja wametegea Urusi Iko vitani ndipo wakaanzisha mpango wa kumtoa Assad.
Poa kumbuka hata majeshi ya Assad hayakua na moyo Tena wa kupigana na inaionesha hata wao pia walishamchoka Assad,hapa Urusi unafikiri angefanyaje?
Lakini hata hao west nao bado nawaona dhaifu kwa sababu walikuaja na kete Yao nyingine ya kivizia ili kumtoa Urusi katika malengo yake ya Ukraine ya kuanzisha vita ya Syria ili Urusi alegeze ukraine ili watimize malengo Yao,lkn naona Urusi kasoma mchezo na ameamua kukomaa na ukraine,hii kwangu naona na akili kubwa ya Urusi.
Jaribio hili nalo limefeli kama vile lilivyofeli jaribio la kursk.
Majaribio haya yalikua na malengo ya kuitoa Urusi kwenye mstari.
Ingawa ukweli utabaki kua ukweli kua Urusi hapa kazidiwa kete lakini tunajiuliza je miaka yote walishindwa Nini Hadi wavizie Urusi Iko na vita nyingine muhimu?
Sambamba na Syria west wanachochea vita nyingine Georgia.
Hata hivyo Mimi kwa mtazamo wangu nchi moja ya Urusi kupambana na nchi zote hizo kwangu naona ni ushujaa wa Hali ya juu mno.
West wote walikua against Assad,
Turkey alikua against Assad,
Saud Arabia alikua against Assad, Israel alikua against Assad,
Baadhi ya Arab countries walikua against Assad,
Baadhi ya raia wa Syria walikua against Assad.
Kwa muktadha huo kama sio vita vya Ukraine Asaad angekua bado yupo.
Urusi ipewe maua yake.

Note.
Mimi lee Vladimir Free sio mfuasi wa siasa za middle east na wala sio mfuasi wa Assad,Syria, Israel,Soud Arabia,Iran wala nchi yoyote ya kiarabu.
Mimi ni mfuasi wa haki na kwa Sasa ni mfuasi wa Putinbna Urusi.
Siku Putin akiangushwa nitaumia sana
Ila sioni kama ataangushwa Bali atawaangusha.
Sikuwahi kujua kama Urusi Ina nguvu namba hii,maana kama si hivyo NATO wasingehangaika namna hii Urusi.
Tatizo la Syria ni Assad mwenyewe alijisahau na hakuweka umuhimu wa kua na jeshi kubwa na imara.
 
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad

Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.

Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.

Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Mtoa mada ulichoandika ni furaha Yako na utashi wako.
Kushindwa kwa Assad hakuleti aibu ya moja kwa moja Kwa Urusi.
Hapa mwenye aibu ni Asaad kwa sababu hakupanga vizuri majeshi yake.
Huwezi kufananisha aibu ya USA kwa Vietnam ukifananisha na mapinduzi ya Assad.
Ile kwa USA ni aibu ya Karne.
Na USA kukinbia Afghanistan hakufanani na Urusi na Assad naona unajaribu TU kutaka kupoza aibu hizo.
Hata hivyo Assad amekaa miaka mingi madarakani kwa msaada wa Urusi lkn amekuja kuangushwa Leo wakati Urusi Iko bize na vita yake na ukraine.
Huu nao ni udhaifu wa nchi za west,yaani wemevizia wakati Urusi Yuko bize na vita nyingine ndio wanaenda kumtoa Assad,siku zote walikua wapi?
 
Iulikua unataka Urusi apigane vita ngapi?
Mbona USA na NATO walikimbizwa na Watalaban TU?
Tena watalaban wala hawakua na msaada wowote?
Malengo ya US yalisha timia akaamua aondoke zake bila shida tena. Kuna tatzo
 
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad

Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na Hezbollah yaliyokuwa tegemeo kuu la Assad yameshindwa vibaya kumlinda na kumtegemeza mshirika wao muhimu.

Inaonekana Urusi hawezi kupigana vita katika front nyingi, Ukraine imemtoa upepo na bado inaendelea kumtoa jasho hadi anapoteza focus kwingine. Iran na Hezbollah wametikisiwa kidogo na Israel wametepeta.

Kilichotokea Syria inapaswa kuwa aibu kubwa kwa linalodiwa taifa kubwa la Urusi, mshirika wao amepigwa wakiwepo. Afghanistan ilianguka mikononi mwa Taliban baada ya Marekani kuondoka, Vietnam ilianguka mikononi mwa Viet Cong baada ya Marekani kuondoka. Syria imeanguka mikononi mwa waasi Warusi wakiwa wamejaa kwenye makambi yao ya kijeshi Syria wakishangaa tu waasi wanvyochukua nchi.
Aibu ipi tena.......watu wameshakubaliana.....kila mtu katoa kafara upande wake
Screenshot_20241208-164722_Sputnik.jpg
Screenshot_20241208-164605_RT News.jpg
Screenshot_20241208-164845_Sputnik.jpg
Screenshot_20241208-164818_Sputnik.jpg
 
Mrusi kabanwa Mbavu (Bog Down) pale Ukraine.
Wamemlia timing vibaya sana!

Serikali ya georgia ni pro Russia. West wame fund vikundi vya kumtoa madarakani rais wa huko muda wote wanaandamana kuishinikiza serikali ijiunge EU.

Mbaya zaidi kama kikinuka kama kipindi cha Bush wanaweza wakazichapa na Russia mambo ikiwa mambo yakiwa magumu.

Russia mwenyewe anapambana Ukraine, huyo huyo amlinde Assad, huyo huyo amlinde Belarus na huyu huyo ailinde Russia yake, ni ngumu.

Russia inambidi abadilishe mbinu kama wenzake wamagharibi. Wenzake wanatengeneza makundi yanayopigania masilahi yao kwa kuanzisha vurugu sehemu tofauti tofauti.

Ikiwa Russia nayo ikifanya haya sijui dunia itakuwaje kwa kweli!

Na ndiyo mueleŵe kwa sasa picha imekuja wazi. Hivyo vikundi vya kigaidi havipo kwa mlengo wa dini bali kwa maslahi ya wakubwa popote pale wanapoona mambo kwao yanakuwa magumu wanatumia hivyo vikundi.

Dini wanaitumia tu kama mgongo ila si watu wa dini. Dunia ina mengi hii!
 
Kifuatacho ITV
Screenshot_20241208-164722_Sputnik.jpg
 
Wamemlia timing vibaya sana!

Serikali ya georgia ni pro Russia. West wame fund vikundi vya kumtoa madarakani rais wa huko muda wote wanaandamana kuishinikiza serikali ijiunge EU.
Serikali ya sasa ya Waziri mkuu wa Georgia waliiba uchaguzi kuingia madarakani, Aliyeanzisha chama tawala cha sasa cha Georgia alitajirikia Urusi, Waziri mkuu ni kama Pro-Russia japo anakataa ila Rais ni Pro-West. Hata hivyo mpango wa Georgia kujiunga na Umoja wa Ulaya(EU) uko rasmi katika katiba ya Georgia, hivyo haijalishi unatoka chama au mrengo gani inabidi uutekleze tu huo mpango, kuusitisha na kuenda kinyume na katiba ya Georgia.
 
Zelensky naye ana matatizo!

Eneo lake la nchi kwa sasa hivi kubwa sana limechukuliwa! Raia wake wengi wamekufa. Kitakachotokea hiyo nchi yake itagawanywa, ndicho ninachokiona. Ili liundwe eneo ambalo litakuwa buffer zone baina ya NATO na Russia. Ule uhuni mwaka 1992 Russia hatoukubali tena.

Ameshaua nchi huyu!
 
Waisilamu ni rahisi sana kuwa Manipulated.
Ni waarabu!

Hata hapa bongo waarabu wana ukabila wenyewe kwa wenyewe!

Ni ngumu sana kwenda kuoa kabila jengine!

Ila uweze kuoa labda huyo mtu ana dini sana! Kwanza hata huyo mwenye dini sana atamtafuta mwenye dini sana mwenzake.

Kingine, labda umzidi sana kwa mali ndipo utakapo oa.

Si hilo tu! Bali hata hapo mashariki ya kati! Ni ngumu sana mtu wa Qatar kuoa UAE. Au wa UAE kuoa Qatar, ni ngumu.

Au wa Saudi kuoa Qatar ni ngumu! Au sijui kutoka Oman uoe Saudia ni ngumu sana. Halikadhalika na waarabu sehemu nyenginezo.

Waarabu wana shida mahali!

Ukiwachomekea ukabila na issue za dini basi umeshawamaliza.
 
Serikali ya sasa ya Waziri mkuu wa Georgia waliiba uchaguzi kuingia madarakani, Aliyeanzisha chama tawala cha sasa cha Georgia alitajirikia Urusi, Waziri mkuu ni kama Pro-Russia japo anakataa ila Rais ni Pro-West. Hata hivyo mpango wa Georgia kujiunga na Umoja wa Ulaya(EU) uko rasmi katika katiba ya Georgia, hivyo haijalishi unatoka chama au mrengo gani inabidi uutekleze tu huo mpango, kuusitisha na kuenda kinyume na katiba ya Georgia.
Hata Ukraine kujiunga Nato lilikuwepo kwenye katiba.
 
Back
Top Bottom