Kilichotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ndicho kitakachofanyika 2020 ikiwa ni mpango wa Rais Magufuli kubadili Katiba kuondoa ukomo wa Urais

Vijana wa CHADEMA naona ndio watamchukulia form raisi Magufuli na kumtaka awe Rais wa maisha! BAVICHA baana!
 
Badilisheni tuu, utawala ulikuwa miaka kumi wakristo, na miaka kumi waisilamu, nadhani tayarishen kuigawa nchi upande waisilamu na upande wakristo, kwa sababu utaratibu, nyie wakristo mnauvunja na sisi hatutakubali
 
Asithubutu Kubadili katiba atajuta hataamini macho yake yeye na akina bashite wake.
 
Mkapa na Pengo nashindwa kuwatofautisha.
Labda unisaidie.
 
Hizi siasa za matusi ndizo tunazozikataa kwa nguvu zote.
Ndio maana awamu ya Tano inafanya inayofanya .
Mana Wasio na dola ndio walikuwa wakatili na wakaidi kuliko wenye dola.

Hamana dola mnakua na lugha mbaya na ubabe wa kuona kila hoja ya binadam mwingine ni ya kutukanwa ,ingekuwaje mngekua mmeingia madarakani? Wale amabao wangewakosoa Live mngewafanyaje kama sio kuwaua kwa risasi ?
Nilifikiri Demokrasia ni kusikiliza hoja za mtu na kuzijibu kumbe ni kutukanana? Hatuwezi kuacha Taifa la watu wanaotukanana kwa sababu ya kugombania madaraka. Mwishowe mkiona mnapuuzwa na matusi yenu mtashika silaha. Hatutawaruhusu kamwe.
Mbowe akirudi kwenye hicho chama kwa kutumia Wapambe wake wanaotukana watu na kuua watu asahau kabisa kuchukuliwa poa. Atakula jela na watu wake wote na Chama kitabaki cha Ukoo.
Badilikeni ,siasa sio vita na uhasama ,siasa ni kujenga ushawishi kwa hoja.?
Tushawishini wale tusiomtaka Mbowe ageuze chama kiwe Mali yake na ukoo wake ili tuone kana sisi ndio tunakosea au yeye ndio anakiuka Demokrasia tunayoipigania?
Anapigania nini sasa Mana kama ni kuingia madarakani tu na kututawala kwa mabavu tumeshachoka hali hiyo toka CCM !! Nilijua Chadema kina lengo la kujenga Taifa la kidemokrasia kumbe lengo lake ni madaraka kama ilivyo CCM huku wakitukana watu na kupinga kila hoja na wazo kinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…