Kilichotokea weekend hii kati ya mimi na binti alokula nauli yangu wiki mbili zilizopita. Mabinti kuweni na adabu na hela za wanaume rijali, mtaumia

Mbona hujaweka kweny episodi?mi niliishia ulivyoweza kuweka stop watch na kupiga dk 15
 
Fix shingo
 


Hawa ndo wanaume, Nikueleze tu mdogo wangu, Hakuna ujanja, faida kwa ujinga wote na upumbavu uliofanya.
 
L
Laki saba yako imepotea hivi hivi sababu ya ngozi tu?

Kama stori yako ni ya kweli huyo demu ni malaya hata kama umajitahidi kumpamba pamba ni muuza nyapu huyo.
 
vest na sweat pant,Bao 20 hii chai sema mwana umefurahisha sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Baoร—20.. pumbafu umeanza kugonga mwaka gani?? Huwezi piga bao20 utamwaga damu...Alafu umetokea mkoa gani??maana malaya haongwi kifara ivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ