Kilichotokea weekend hii kati ya mimi na binti alokula nauli yangu wiki mbili zilizopita. Mabinti kuweni na adabu na hela za wanaume rijali, mtaumia

Aisee[emoji23][emoji23],

Mungu awaepushie madogo zet waliopo huko vyuoni.
 
Huyo demu siyo Pipytida kweli [emoji3][emoji3][emoji3]

Pipytida mnenguaji wa Tiktok [emoji23][emoji39] huwa namtamani huyo mtoto yan yupo natural hajichubui wala havai mawigi aseeh, nampenda kinoma
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye vibamia mna kelele
Tulia tafadhali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye vibamia mna kelele
Tulia tafadhali
😪😪😪😪

Sasa ndiyo utucheke? Mungu anakuona, hatuchagua kuwa vibamia.
 
Ndoto za vijana wengi hupotea kwa anasa ambazo hazina maana yeyote. Hapo story kama ni kweli umetumia hiyo zaidi ya 600k sina budi kukuita wewe ni kijana wa hovyo kabisa.
 
Teslarati hiyo inshu iliwahi kunitokea chuo ila sio kwa kunikomoa ila niliskip kuja kwa mtu niliye mdanganya kuwa nakuja kwake ila kunasiku alinidaka ,aisee mashine ilifanywa yakukobolewa yaani nimefika home nawaka moto ukiweka maji ya wali inachemka nakukauka aisee 7 days nilikuwa home naugulia vikali makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…