Kilichotokea weekend hii kati ya mimi na binti alokula nauli yangu wiki mbili zilizopita. Mabinti kuweni na adabu na hela za wanaume rijali, mtaumia

Haya maisha mwe kwa ku** gani laki karibu 5 inapotea halafu unajiona mjanja?
 
mkuu ukumbuke kuvaa kondom...grade mpya ilio ingia haikubali dawa...

leo hii una kula raha bila kuwashirikisha ndugu zako ila likikupata la kukupata watakao pata tabu ni sisi ndugu zako...

toambana KISTAARABU ndugu yangu.​
 
Mkuu unataka utufanye wengine tujione sio marijali. Bao 15 kwa siku 1 kweli?
 
Duuh
 
Vipi mkuu ulimtafuta tena.

Hako kakemikali kutoka kenya kataje tu
 
5. Ametoa JD kwenye fridge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…