Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

Kwa hiyo Ndoa ilivunjika kwanza kabla ya kufungwa?
 
No! Ni hiki![emoji41][emoji41][emoji41]
Pic%20Merger_855.jpeg
 
Tatizo wanawake wanajilengesha kwa diamond kutafuta umaarufu na pesa tu
Ameshaambulia Prado ya Tsh 150 milioni aende zake
Mwanamke anaemfaa Diamond,ni yule asie maarufu wala kutaka fedha zake na umaarufu
 
Hatari Sana huyu vixen, kila mtu kapagawa, huyu Ni dancer kweli
 
Huyu Tanasha alikuja kuzini na kujipatia kiwanja dar, ukishakuwa na mtoto so mdio unapata child support au?
 
Back
Top Bottom