NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini.
Kwanini vizitumike viwanja vya town ambako kuna huduma nzuri za hoteli, za kijamii, ulinzi, n.k. haya mambo ya kwenda viwanja vya bush ni kuchoshana tu bila kujali timu inapata matokeo mazuri ama mabaya.
Kutoka morogoro mjini hadi manungu ni saa moja na nusu, Kutoka Mbeya mjini hadi huko Mbarali uwanja wa Ihefu ni maaa mawili na nusu.
Pia hivi viwanja huwa ni vya watu binafsi nayo hii inaweza kuleta insecurity ya kuvifanya watakavyo..
Ikipendeza, viwanja vya kutumika viwe vya mjini na sio huko vijijini