Kilichowatokea Simba kucheza uwanja wa Manungu mbali na mji nao Yanga wamekipata, Viwanja vya mechi viwe vya mjini na sio vya bushi.

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini.

Kwanini vizitumike viwanja vya town ambako kuna huduma nzuri za hoteli, za kijamii, ulinzi, n.k. haya mambo ya kwenda viwanja vya bush ni kuchoshana tu bila kujali timu inapata matokeo mazuri ama mabaya.

Kutoka morogoro mjini hadi manungu ni saa moja na nusu, Kutoka Mbeya mjini hadi huko Mbarali uwanja wa Ihefu ni maaa mawili na nusu.

Pia hivi viwanja huwa ni vya watu binafsi nayo hii inaweza kuleta insecurity ya kuvifanya watakavyo..

Ikipendeza, viwanja vya kutumika viwe vya mjini na sio huko vijijini
 
Hapana tuendelee tu hivi hivi
Tupate unbeaten nyingne
 
Yanga Haina Shida na viwanja vya uchochoroni ila Leo ilikua Siku ya kupoteza.
 
Utopolo akili zao wanazijua Wenyewe.

Mzee Wallace Karia alipumzika Kidoooogo..Lkn Kwa Sasa nnavyowajua..!

Lawama zitaanza Upyaaaaa..!
 
Mmeanzaaa kulaumu viwanjaaa eeeeeh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba tuliposema viwanja vya mikoani sio rafiki kwa kuchezea soka la kisasa mlituona hatuna akili kwa kuwa ninyi munashinda, sasa yamewakuta.
 
Yanga hajawahi kuangaishwa na viwanja vibovu, anao wachezaji wa kucheza viwanja vyote kilichotokea Leo Yanga kufungwa ni jambo la kawaida katika soka. Tunacho jivunia ni kutofungwa Katia mechi zaidi ya 49 za ligi.
 
Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini.

Kwanini vizitumike viwanja vya town ambako kuna huduma nzuri za hoteli, za kijamii, ulinzi, n.k. haya mambo ya kwenda viwanja vya bush ni kuchoshana tu bila kujali timu inapata matokeo mazuri ama mabaya.

Kutoka morogoro mjini hadi manungu ni saa moja na nusu, Kutoka Mbeya mjini hadi huko Mbarali uwanja wa Ihefu ni maaa mawili na nusu.

Pia hivi viwanja huwa ni vya watu binafsi nayo hii inaweza kuleta insecurity ya kuvifanya watakavyo..

Ikipendeza, viwanja vya kutumika viwe vya mjini na sio huko vijijini
Bahasha yenu ilikataliwa mtasema mengi.
Katika soka la kweli huwezi kushinda tu mechi nyingi namna hiyo huku kimataifa unacheza kombe la losers
 
Back
Top Bottom