Kilichowatokea Yanga uwanja wa Ndege

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Nawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee.

Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni tete kwa wanaojiita mabingwa wa kihistoria baada ya kupoteza funguo dakika za mwisho maeneo ya airport ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa team hyo ilikuwa hivi:–

Viongozi wa Azam fc walienda airport kumpokea mchezaji wao mpya kutoka Morocco ambaye ni mlinda mlango aliyatambulishwa jana ila viongozi hao walishtushwa kuwaona viongozi kutoka kwa mabingwa wa kihistoria baada ya story za hapa na pale wakadai kwamba wanasubiria funguo yao kutoka burkinafaso ila viongozi wa Azam machale yaliwacheza na hawakuamini hilo.

Kilichofuata viongozi wa Azam fc waliokwenda airport kumsubiria goli kipa wao ikabidi wafanye mawasiliano na watu walio kwenda kumchukua mlinda mlango wao kwamba wabadilishe destination badala ya kushuka JNIA washuke KIA kwani kuna watu airport hawawaelewi na wapo mda mrefu mpaka wanaonekana wamechoka,
kusubiria kweli wakafanya hvyo walipofika Ethiopia na waliokuwepo JNIA kuachwa kwenye mataa kwani hawakupata funguo wa kufuli walipokwenda airport.

Kuua soo ikabidi asubui mapema Sana waamke na story ya designer wa Yanga baada ya kuchomeshwa mahindi Airport maana sio funguo wala kufuli waliyoambulia.

NB: Sijasema hamjanunua funguo ila bado kuna vitu hamjamalizia ili mpewe funguo yenu.
 
Story za vijiwe vya kahawa
 
Kwanza huna lolote unalo lijua ni umbumbumbu umekujaa, Kipa wa Azam ameshuka terminal 3 Dar es salaam, kilichofanyika Azam walifanya mahusiano na maofisa wa uwanja wa Ndege Kwaiyo kwenye kutoka uwanjani ametokea terminal 2 baada ya kufuata taratibu zote za kiusalama.
Habari za kushuka Kirimanjaro ni uongo usio na mipaka.

Kingine ambacho nafikiri hufahamu, viongozi/watu awawezi Kuja kumsubiri mchezaji ambaye awana uhakika kama Ali bord(alipanda iyo Ndege)
Wakisha kua na uhakika amepanda Ndege Fulani basi wanauhakika atawasili muda gani na wanauwezo wa kuifuagilia iyo Ndege tangu Ina paa mbaka inashuka katika destination husika.
 
Huyu pimbi anazani ndege ni boda boda kwamba unatua tu popote mda wowote

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yanga wana mdaka mishale hawahitaji kipa kwa sasa, mashudu ya hivi uwe una share kwenye group la wa Makolo wenzio
Soma vizuri uelewe hlo ndo tatizo la mashabiki wa yanga umesoma title tu umemaliza na nilitaka msielewe hvyo maana nyie madish yashahama kitambo
 
Hivi Huyo Kipa Anatoka Morocco Au Comoros?..Af Tulia Uandike Vizuri Maana Huelezei Jambo Vizuri Ukaeleweka Unakuwa Kama Mnyama Pori Bhn [emoji23]
 
Umekaa kijiweni kwenye kahawa mkalishana matango pori mpaka ukaambiwa golikipa wa azam katoka Morocco na wewe umeyabeba hivyohivyo unakuja kuyatapika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…