Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
makolo uwa wanajitungia tuHivi Yanga ni timu ya kutaka kipa msimu huu? Makolo tulizeni akili kuna mdaka mishale pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makolo uwa wanajitungia tuHivi Yanga ni timu ya kutaka kipa msimu huu? Makolo tulizeni akili kuna mdaka mishale pale.
Hivi Yanga ni timu ya kutaka kipa msimu huu? Makolo tulizeni akili kuna mdaka mishale pale.
Kwa mujibu wa mtoa mada ni kuwa hakuna tofauti kati ya Morocco na Comoro
Hivi Huyo Kipa Anatoka Morocco Au Comoros?..Af Tulia Uandike Vizuri Maana Huelezei Jambo Vizuri Ukaeleweka Unakuwa Kama Mnyama Pori Bhn [emoji23]
Rage ni genius! Maana kauli yake bado inaishi mpaka sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huenda alikuwa anaandika huu uzi huku mkono mmoja uko kwenye Linda [emoji23][emoji23]
Kwa hyo kwenye mada umeona hyo Morocco tu mimi na yule nguruwe pori aliyeambia mnaanzia nusu fainali nani hana akili na mlivyo mazuzu mkakubali wakati mnajua mna 0.5 radius of trapezium utopolo kweli akili zipo mataqoni.Hivi Huyo Kipa Anatoka Morocco Au Comoros?..Af Tulia Uandike Vizuri Maana Huelezei Jambo Vizuri Ukaeleweka Unakuwa Kama Mnyama Pori Bhn [emoji23]
Kwa nn viongozi na mashabiki wa yanga wanalikwepa jina la kwanza la mchezaji wao anayeitwa JOYCE wanajifanya wanamuita jina la baba mchezaji kachukua cheti cha dada yake kaja kawajaza ujinga ni la kwake na kaze analeta wajomba zake kwenye team.Sasa mchezaji mnampeleka coco beach, tena kule kwenye mawe juu kuna wahuni wanavuta bang na wengine wanakunya kule... kwan beach nzuri hamna dsm au shida nin..?
Ndio, Yanga inahitaji kipa maana aliyepo ni saizi ya SopuHivi Yanga ni timu ya kutaka kipa msimu huu? Makolo tulizeni akili kuna mdaka mishale pale.
Nyie GSM hawavurugi. Hadi kwenye uongozi kamuweka kibaraka wake, hili hamlioni??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo golikipa wa Azam ametoka Morocco, au Comoro? [emoji16][emoji16][emoji16] Nyinyi ndiyo maana Mudi anawavuruga kadiri apendavyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNgedere tu nyinyi. View attachment 2290874
Mliokuwapo airport ndio mtuambie huyo kipa wa Azam ametokea nchi gani. Wengine airport huwa tunaenda kusafiri, sio kupokea wasafiriKwa hiyo golikipa wa Azam ametoka Morocco, au Comoro? 😁😁😁 Nyinyi ndiyo maana Mudi anawavuruga kadiri apendavyo!
Muulize mleta mada acha kujitoa ufahamu kama asemavyo manara ukitoa mzee sunday na mzee manara mliobaki wote hamna akili na hata kwa ustar kawazidi sana kuliko hata klabu yenu utoKwa hiyo golikipa wa Azam ametoka Morocco, au Comoro? 😁😁😁 Nyinyi ndiyo maana Mudi anawavuruga kadiri apendavyo!
Njoo ubwabwaje hapa sasa kiuno umejaza shangaNawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee.
Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni tete kwa wanaojiita mabingwa wa kihistoria baada ya kupoteza funguo dakika za mwisho maeneo ya airport ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa team hyo ilikuwa hivi:–
Viongozi wa Azam fc walienda airport kumpokea mchezaji wao mpya kutoka Morocco ambaye ni mlinda mlango aliyatambulishwa jana ila viongozi hao walishtushwa kuwaona viongozi kutoka kwa mabingwa wa kihistoria baada ya story za hapa na pale wakadai kwamba wanasubiria funguo yao kutoka burkinafaso ila viongozi wa Azam machale yaliwacheza na hawakuamini hilo.
Kilichofuata viongozi wa Azam fc waliokwenda airport kumsubiria goli kipa wao ikabidi wafanye mawasiliano na watu walio kwenda kumchukua mlinda mlango wao kwamba wabadilishe destination badala ya kushuka JNIA washuke KIA kwani kuna watu airport hawawaelewi na wapo mda mrefu mpaka wanaonekana wamechoka,
kusubiria kweli wakafanya hvyo walipofika Ethiopia na waliokuwepo JNIA kuachwa kwenye mataa kwani hawakupata funguo wa kufuli walipokwenda airport.
Kuua soo ikabidi asubui mapema Sana waamke na story ya designer wa Yanga baada ya kuchomeshwa mahindi Airport maana sio funguo wala kufuli waliyoambulia.
NB: Sijasema hamjanunua funguo ila bado kuna vitu hamjamalizia ili mpewe funguo yenu.