Kilichowatokea Yanga uwanja wa Ndege

Kilichowatokea Yanga uwanja wa Ndege

Sasa mchezaji mnampeleka coco beach, tena kule kwenye mawe juu kuna wahuni wanavuta bang na wengine wanakunya kule... kwan beach nzuri hamna dsm au shida nin..?
 
Hivi Huyo Kipa Anatoka Morocco Au Comoros?..Af Tulia Uandike Vizuri Maana Huelezei Jambo Vizuri Ukaeleweka Unakuwa Kama Mnyama Pori Bhn [emoji23]
Kwa hyo kwenye mada umeona hyo Morocco tu mimi na yule nguruwe pori aliyeambia mnaanzia nusu fainali nani hana akili na mlivyo mazuzu mkakubali wakati mnajua mna 0.5 radius of trapezium utopolo kweli akili zipo mataqoni.
 
Sasa mchezaji mnampeleka coco beach, tena kule kwenye mawe juu kuna wahuni wanavuta bang na wengine wanakunya kule... kwan beach nzuri hamna dsm au shida nin..?
Kwa nn viongozi na mashabiki wa yanga wanalikwepa jina la kwanza la mchezaji wao anayeitwa JOYCE wanajifanya wanamuita jina la baba mchezaji kachukua cheti cha dada yake kaja kawajaza ujinga ni la kwake na kaze analeta wajomba zake kwenye team.
 
Rage ni genius! Maana kauli yake bado inaishi mpaka sasa.
Ngedere tu nyinyi.
FB_IMG_16506275597859057.jpg
 
Kwa hiyo golikipa wa Azam ametoka Morocco, au Comoro? [emoji16][emoji16][emoji16] Nyinyi ndiyo maana Mudi anawavuruga kadiri apendavyo!
Nyie GSM hawavurugi. Hadi kwenye uongozi kamuweka kibaraka wake, hili hamlioni??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo golikipa wa Azam ametoka Morocco, au Comoro? 😁😁😁 Nyinyi ndiyo maana Mudi anawavuruga kadiri apendavyo!
Mliokuwapo airport ndio mtuambie huyo kipa wa Azam ametokea nchi gani. Wengine airport huwa tunaenda kusafiri, sio kupokea wasafiri
 
Kwa hiyo golikipa wa Azam ametoka Morocco, au Comoro? 😁😁😁 Nyinyi ndiyo maana Mudi anawavuruga kadiri apendavyo!
Muulize mleta mada acha kujitoa ufahamu kama asemavyo manara ukitoa mzee sunday na mzee manara mliobaki wote hamna akili na hata kwa ustar kawazidi sana kuliko hata klabu yenu uto
 
Nawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee.

Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni tete kwa wanaojiita mabingwa wa kihistoria baada ya kupoteza funguo dakika za mwisho maeneo ya airport ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa team hyo ilikuwa hivi:–

Viongozi wa Azam fc walienda airport kumpokea mchezaji wao mpya kutoka Morocco ambaye ni mlinda mlango aliyatambulishwa jana ila viongozi hao walishtushwa kuwaona viongozi kutoka kwa mabingwa wa kihistoria baada ya story za hapa na pale wakadai kwamba wanasubiria funguo yao kutoka burkinafaso ila viongozi wa Azam machale yaliwacheza na hawakuamini hilo.

Kilichofuata viongozi wa Azam fc waliokwenda airport kumsubiria goli kipa wao ikabidi wafanye mawasiliano na watu walio kwenda kumchukua mlinda mlango wao kwamba wabadilishe destination badala ya kushuka JNIA washuke KIA kwani kuna watu airport hawawaelewi na wapo mda mrefu mpaka wanaonekana wamechoka,
kusubiria kweli wakafanya hvyo walipofika Ethiopia na waliokuwepo JNIA kuachwa kwenye mataa kwani hawakupata funguo wa kufuli walipokwenda airport.

Kuua soo ikabidi asubui mapema Sana waamke na story ya designer wa Yanga baada ya kuchomeshwa mahindi Airport maana sio funguo wala kufuli waliyoambulia.

NB: Sijasema hamjanunua funguo ila bado kuna vitu hamjamalizia ili mpewe funguo yenu.
Njoo ubwabwaje hapa sasa kiuno umejaza shanga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom