pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Nawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee.
Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni tete kwa wanaojiita mabingwa wa kihistoria baada ya kupoteza funguo dakika za mwisho maeneo ya airport ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa team hyo ilikuwa hivi:–
Viongozi wa Azam fc walienda airport kumpokea mchezaji wao mpya kutoka Morocco ambaye ni mlinda mlango aliyatambulishwa jana ila viongozi hao walishtushwa kuwaona viongozi kutoka kwa mabingwa wa kihistoria baada ya story za hapa na pale wakadai kwamba wanasubiria funguo yao kutoka burkinafaso ila viongozi wa Azam machale yaliwacheza na hawakuamini hilo.
Kilichofuata viongozi wa Azam fc waliokwenda airport kumsubiria goli kipa wao ikabidi wafanye mawasiliano na watu walio kwenda kumchukua mlinda mlango wao kwamba wabadilishe destination badala ya kushuka JNIA washuke KIA kwani kuna watu airport hawawaelewi na wapo mda mrefu mpaka wanaonekana wamechoka,
kusubiria kweli wakafanya hvyo walipofika Ethiopia na waliokuwepo JNIA kuachwa kwenye mataa kwani hawakupata funguo wa kufuli walipokwenda airport.
Kuua soo ikabidi asubui mapema Sana waamke na story ya designer wa Yanga baada ya kuchomeshwa mahindi Airport maana sio funguo wala kufuli waliyoambulia.
NB: Sijasema hamjanunua funguo ila bado kuna vitu hamjamalizia ili mpewe funguo yenu.