Kilimanjaro: Amuua nduguye kwa kukataa kuchangia nyama ya 1,500 waliyokula

Umasikini mbaya sana ........
umasikini ni laana.........
ukiambiwa hivi elewa
Suala sio umasikini, suala ni kukiuka makubaliano. Inaudhi sana. Ni afadhali ukatae mapema au hata unidanganye kwamba, "isee yaani mfukoni sina kitu kabisa", nilipe kwa ridhaa yangu, roho inakuwa radhi kabisa, kuliko kukubaliana na baada ya mlo kukataa, tena kijeuri!!
Kwani watu wanashindwa kulipa jero ya TARURA? Ni kwa sababu ya utaratibu mbovu!
 
Kilimanjaro napo matukio ya mauaji yameshamiri siku za hivi karibuni
 
Tatizo mnyama Airways binadamu
Hofu ya MUNGU haipo kabisa moyoni
Kuna vitu vya ajabu sana vinafanyika
 
Hapo issue ni malezi tu,watoto waliolelewa kwenye maadili mema hawawezi kuuana bali wataheshimiana na kusaidiana,

Tuwe makini sana katika malezi ya watoto wetu ili wapendane na kusaidiana toka wakiwa wadogo.
 
Tulishawazoea watu wa huko. Mmea wa Arusha katika ubora wake. Halafu oohh, Kilimanjaro tumestaarabika. Huo ndio ustaarabu ?
 
Hizi nyakati ni mgumu Sana haya matukio ha ajabu ajabu yamekuwa mengi watu Wana misingi ya mawazo sana
 
This is madness, apimwe akili kwanza, siamini kama mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya hivyo
Mzazi anamchoma mwanaye kisa 100 Tena wakumzaa sembuse huyu ....ukichaa unatawala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…