Mkuu,,,ukatili wa kuuana wenyewe kwa wenyewe sababu ya vi2 vidogo mfano, wa hii taarifa kisa kutochangia hela yanyama, wanauwana kisa mifugo, mashamba,, wivu wa mapenzi,, mwizi anachomwa petroli,, vikongwe kuuawa,, albino kuuawa kisa utajili,, baba anamtoa kafala ama kumchizisha mwanae kisa utajili n.k. miaka yanyuma wa2 warikuwa wakichunwa ngozi kisa utajili kwa maagizo ya mganga!! Yako mengi mnoo. So,, ukatili unatofautiana mkuu.
Ukienda nchi za mabeberu ukatiri wao kwenye uchumi/masilahi ikiwa pamoja na kuupoteza uisilamu jambo ambalo co rahisi na hawatafanikiwa kamwe ,,wako tayali kumwaga damu ili uchumi wao ucporomoke, na kuwaweka raia wao katika hali nzuli, mfano Iraq walichokifanya, libya, Afghanistan, syria n.k. wameshauwa mamilioni ya innocent people. Ni moja kati ya wa2 makatili duniani hawa mbwa koko.
Haya ni maono yangu mkuu,,,,