Kilimanjaro: Amuua nduguye kwa kukataa kuchangia nyama ya 1,500 waliyokula

Nyama hapo imekua sababu ya mwisho.. huenda walikua na chuki chini.kwa chini au muuaji hayupo sawa kiakili.
 
Matukio ya mauaji kila siku. Mbaya zaidi sababu za mauaji mengine unashindwa hata kuelewa. Yaani mtu kala nyama anakataa kuchangia hela, anauawa.
 
Wazazi poleni..

Watoto wote wawili wanaondoka..mmoja

jela mwengine kaburini..!
 
Kuna watu and then kuna Wachagga pia. Mchagga hata shillingi 500 tu anakuua kisha anajiua yeye mwenyewe....Yaani hawa ni watu wa hasara tu, zaidi ya Wahehe, wazee wa kujinyonga na kula mbwa.
 
Umaskini sio laana acha mambo ya ajabu. Kwaiyo tuliozaliwa katika familia za kimaskini tulizaliwa katika laana? Hiyo ni akili tu ya mtu na roho yake. Unatakiwa utumie akili uweze kucontrol hasira.
Umaskini ni laana Tena ya uhakika kama unaamini sio laana nenda kafunge na kuomba Mungu akupe umaskini
 
Marehemu nae kama walikubaliana na mwenzake wachange wanunue nyama wale, kwa nini ale kisha agome kulipa?

Marehemu ana mchango mkubwa sana kusababisha kifo chake.

700 tu imegharimu uhai wake.
Wangegawana kuwa tupe nyama ya 1500 kata katikati weka sahani mbili tofauti halafu kila mmoja mdai 750 wewe muuza nyama
 
Kibosho Dakau nyumbani kwetu huko watu misimamo mikali sana. Mbege nyama ndiyo habari kuu
 
Umaskini sio laana acha mambo ya ajabu. Kwaiyo tuliozaliwa katika familia za kimaskini tulizaliwa katika laana? Hiyo ni akili tu ya mtu na roho yake. Unatakiwa utumie akili uweze kucontrol hasira.

N

Nimeona upuuzi...haya Kuna Nini?

Kweli kabisa ni upuuzi m2pu na ushenzi m2pu,,,afrika inaongoza kwa ukatiri duniani+india=full kuuwana. 2nasafali ndefu sana
 
mmmm jamaani 1500 imeenda na roho ya mtu kweli?
 
Ofa za bure zina shida, ukipewa ofa jitahidi ata uchangie kachumbari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…