Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.



Chanzo: ITV

My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"

JPM
 
Ni kweli wanapokuja kuwekeza na kufanya vitu mbalimbali tunahisi wana upendo wa hali ya juu kumbe ni njia za kufanikisha mission zao
 
Hizi mada zishakua too much sasa I think kuendelea kuzungumzia huu ujinga ni kupromote Ushoga-maana imekua kama Campaign

#KATAA UBASHA
#KATAA USHOGA
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
Wakati bado wanawafuatilia wakina j.lokole &Co Ltd kwenye media zao

Ova
 
Sheria tunazo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miwani myeusi wametajwa kuwa kimyaaaa kumbe moja ya sababu ni kutooana haya
 
Ushoga na usagaji ni fashion ya maisha ya kizamani sana (sodom and gomora) ..hakuna kipya ni marudio na ushamba tu..

Mzee wangu aliniambiga hivi nikiwa kinda kabisa "sio kila fashion ikitoka unayo vingine acha vikupite" haya mambo ya tigo sijui nini acha yanipite tu.

Wanaume tuache tabia za kibasha jaman hao mashoga hawatakuwepo km ss wanaume tunawaingilia..
 
Mngesema inaitwaje maana zimeenea nchi yote
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu bariki hichi kizazi na uwa epushe na mambo ya kutisha ya usenge na usagaji ehhh Mola wangu sikia vilio vyetu!
Maana ulipo wewe yote yanawezekana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
huu ndio msimamo wa serikali ukiongozwa na katiba

nashauri wale wote wanaanzisha ana kutetea na pia kujinasibu apa jukwaani kwavitendo hivyo sheria ziwabane
Hujui wale wafadhili wako hadi huku?
 
Umemaliza kwa neno zito. Nakumbuka lilikuwa ni common word la yule mzee.

Kuna wakati alisema ye yupo serikalini na kuna vitu vingi anaona. Pengine mojawapo ni shughuli za hizi NGOs ndio maana nyingi alizifutilia mbali. Mama alivyoingia akaja mzima mzima ooh sekta binafsi sekta binafsi. Akazifungulia zote kudadadeki. Haya sasa kiko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…