Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

Wasiishie kulifunga, wawachukulie hatua na wahusika
Tatizo aliyezifungulia akiamini anamkomoa aliyezifungia. Mama alitakiwa ajiridhishe vya kutosha kabla hajazifungulia hizi NGOs.

Unaweza kukurupuka ukapuuza kazi kubwa iliyofanywa na mwenzio ukiaminibna wewe una uwezo, ukija shtuka umeshapotea.
 
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.

View attachment 2580125

Chanzo: ITV

My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"

JPM
Wafanyakazi wake wafuatiliwe huko mtaani manake kama walishapata mzuka na Bado wana connections na haojamaa wanaweza kuendeleza kama freelance, na hii ndiyo mbaya zaidi
 
Hizi mada zishakua too much sasa I think kuendelea kuzungumzia huu ujinga ni kupromote Ushoga-maana imekua kama Campaign

#KATAA UBASHA
#KATAA USHOGA
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
Nyie jamaa munaoandikaga hivi huwa munawaza Nini.

Unawezaje kupambana na kitu fulani bila kukiongelea hiko kitu.
 
Wafanyakazi wake wafuatiliwe huko mtaani manake kama walishapata mzuka na Bado wana connections na haojamaa wanaweza kuendeleza kama freelance, na hii ndiyo mbaya zaidi
Tangu lini mcheza vigodoro akaongoza nchi?
 
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.

View attachment 2580125

Chanzo: ITV

My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"

JPM
 
Hizi mada zishakua too much sasa I think kuendelea kuzungumzia huu ujinga ni kupromote Ushoga-maana imekua kama Campaign

#KATAA UBASHA
#KATAA USHOGA
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
Unataka kusema unaweza au kuna mtu anaweza kushawishika kuingia kwenye ushoga baada kusoma kwa wingi hapa jf? hapa inatolewa elimu kama tulivyopinga ukimwi na madawa ya kulevya, kitu kibaya kwenye jamii lazima kisemwe kila kona na kila wakati.
 
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.

View attachment 2580125

Chanzo: ITV

My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"

JPM

Mungu atunusuru
 
Siku zote vitonga havimuachi mtu salama. Hatuwezi jenga ustawi wa jamii yetu kwa kutegemea mfuko wa wahisani ambao kila senti yao wametupangia tuitumie wapi.

Binafsi sijaona NGO iliyojikita kwenye kuendeleza Science and Technology. Zilizopo zinajihusisha na vitu vidogo sana kama kugawa neti, mafuta, sabuni, mchele, unga na kudai kutetea haki za binadamu.

Ni wakati sasa kwa mamlaka inayohusika na usajili kuamka nakufanya mchujo wa hizi NGO maana nyingi zipo kimaarifa maarifa.
 
"Msifikiri mnapendwa sana" JPM
 
Back
Top Bottom