Tatizo aliyezifungulia akiamini anamkomoa aliyezifungia. Mama alitakiwa ajiridhishe vya kutosha kabla hajazifungulia hizi NGOs.Wasiishie kulifunga, wawachukulie hatua na wahusika
Wafanyakazi wake wafuatiliwe huko mtaani manake kama walishapata mzuka na Bado wana connections na haojamaa wanaweza kuendeleza kama freelance, na hii ndiyo mbaya zaidiSerikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.
View attachment 2580125
Chanzo: ITV
My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"
JPM
Nyie jamaa munaoandikaga hivi huwa munawaza Nini.Hizi mada zishakua too much sasa I think kuendelea kuzungumzia huu ujinga ni kupromote Ushoga-maana imekua kama Campaign
#KATAA UBASHA
#KATAA USHOGA
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
Tangu lini mcheza vigodoro akaongoza nchi?Wafanyakazi wake wafuatiliwe huko mtaani manake kama walishapata mzuka na Bado wana connections na haojamaa wanaweza kuendeleza kama freelance, na hii ndiyo mbaya zaidi
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.
View attachment 2580125
Chanzo: ITV
My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"
JPM
Unataka kusema unaweza au kuna mtu anaweza kushawishika kuingia kwenye ushoga baada kusoma kwa wingi hapa jf? hapa inatolewa elimu kama tulivyopinga ukimwi na madawa ya kulevya, kitu kibaya kwenye jamii lazima kisemwe kila kona na kila wakati.Hizi mada zishakua too much sasa I think kuendelea kuzungumzia huu ujinga ni kupromote Ushoga-maana imekua kama Campaign
#KATAA UBASHA
#KATAA USHOGA
#MWANAMKE KATAA KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE
Ukiwa mpenda misaada na kuomba omba huwezi gundua mapema mapaka macho yatoboleweYaani mpaka wanasajiriwa na kuanza kutoa mafunzo hakuna kustukiwa?View attachment 2580341
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.
View attachment 2580125
Chanzo: ITV
My take: "Msifikiri Mnapendwa Sana"
JPM
Askari wa zenji ndio kaibua haya yote na kiwafungua macho wananchi na TAIFA kwa ujumlaYaani mpaka wanasajiriwa na kuanza kutoa mafunzo hakuna kustukiwa?View attachment 2580341
"Msifikiri mnapendwa sana" JPMSiku zote vitonga havimuachi mtu salama. Hatuwezi jenga ustawi wa jamii yetu kwa kutegemea mfuko wa wahisani ambao kila senti yao wametupangia tuitumie wapi.
Binafsi sijaona NGO iliyojikita kwenye kuendeleza Science and Technology. Zilizopo zinajihusisha na vitu vidogo sana kama kugawa neti, mafuta, sabuni, mchele, unga na kudai kutetea haki za binadamu.
Ni wakati sasa kwa mamlaka inayohusika na usajili kuamka nakufanya mchujo wa hizi NGO maana nyingi zipo kimaarifa maarifa.
Wasiishie kulifunga, wawachukulie hatua na wahusika