Kilimanjaro: Baba akamatwa akitaka kumuozesha bintiye

Kilimanjaro: Baba akamatwa akitaka kumuozesha bintiye

Daah ni hatari iyo mkuu mtoto wa miaka 6 hata hisia hana ni kumtesa tu aisee.
Huwa inachukuliwa kama jambo la Heshima katika jamii flaniflani.

Kama zawadi kwa watu maarufu sana.

Shehe Yahaya alishapewaga mke mdogo sana.
Kwa heshima tu.
 
Hiyo kata ya Njoro hadi Ruvu ni wa masai dear
Tuletee proof kwamba kata hiyo ni ya wamasai na huyo mzee na mtoto ni wamasai
Mimi nnachojua bila ubishi same ni upareni😂😂😂
 
Huyo ni Mpare sio Mchaga.
Andikeni Same sio Kilimanjaro!.
 
Back
Top Bottom