Soma kwanza uzi uelewe vizuri, huenda wewe ndio unawakilisha lile kundi la watanzania wavivu kusoma.Mleta uzi unawakilisha wajinga wengi sana tulio nao nchini wasioijua nchi yao vizuri. Tangu lini Machame ikawa Arusha?
Mbona kuna majina mengi tu yanajirudia sehemu mbalimbali?Mleta uzi unawakilisha wajinga wengi sana tulio nao nchini wasioijua nchi yao vizuri. Tangu lini Machame ikawa Arusha?
Nitolee upumbavu wako hapa.Soma kwanza uzi uelewe vizuri, huenda wewe ndio unawakilisha lile kundi la watanzania wavivu kusoma.
Wewe mpumbavu acha kutetea ujinga.Mbona kuna majina mengi tu yanajirudia sehemu mbalimbali?
Mfano kilombero ipo maeneo mikoa tofautitofauti, kuna ostabei, kuna rombo, kuna msasani arusha na Dar
Upumbavu unao wewe mvivu wa kusoma habari kwa umakini. Hivi wewe ndio ulisema una uwezo mkubwa sana ukilingqnisha na wanajf wengi na unataka uleft kabisa?Nitolee upumbavu wako hapa.
Kama sijasoma uzi ningeonaje kijiji cha Useri kilichopo Arusha badala ya Kilimanjaro? Kwa wewe uliumbwa utetee ujinga?Upumbavu unao wewe mvivu wa kusoma habari kwa umakini. Hivi wewe ndio ulisema una uwezo mkubwa sana ukilingqnisha na wanajf wengi na unataka uleft kabisa?
Ni wapi pameandikwa kijiji cha Useri? Mkuu unawakilisha kundi la wavivu wa kusoma na kuelewa habari kabla ya kutoa maoni yako. Na watu kama wewe tupo wengi sana Tanzania, no wonder nchi masikini.Kama sijasoma uzi ningeonaje kijiji cha Useri kilichopo Arusha badala ya Kilimanjaro? Kwa wewe uliumbwa utetee ujinga?
Jomba naona wewe umeamua kuwa mpuuzi kwa sababu unazozijua mwenyewe. Maoni ya watu wengine walioshangaa Machame kuwa Arusha hujaona? Mtu kama wewe ni laana kwa taifa.Ni wapi pameandikwa kijiji cha Useri? Mkuu unawakilisha kundi la wavivu wa kusoma na kuelewa habari kabla ya kutoa maoni yako. Na watu kama wewe tupo wengi sana Tanzania, no wonder nchi masikini.