Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Hivi ni kweli? Ukitaka upate view nzur ya mlima Uamanjaro lazima uende upande wa kina onyango?
Em wanajiografia na watalii mtujuze.
Em wanajiografia na watalii mtujuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upande wa Tanzania ndio wenye view nzuri na theluji ya kudumu ipo nyingi. Pia upande wa Tanzania ndio wenye watu wengi wanaoishi kwenye misitu ya kijani kibichi, watu hao ndio Wachagga.Hivi ni kweli? Ukitaka upate view nzur ya mlima Uamanjaro lazima uende upande wa kina onyango?
Em wanajiografia na watalii mtujuze.View attachment 2620267
OkyUpande wa Tanzania ndio wenye view nzuri na theluji ya kudumu ipo nyingi. Pia upande wa Tanzania ndio wenye watu wengi wanaoishi kwenye misitu ya kijani kibichi, watu hao ndio Wachagga.
DuuhMiaka ya 90 ukipita hapo ulikuwa lazima ugeuze shingo kushangaa