Kilimanjaro 🎵🎶🎶 kiliimanjaaro

Kilimanjaro 🎵🎶🎶 kiliimanjaaro

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Hivi ni kweli? Ukitaka upate view nzur ya mlima Uamanjaro lazima uende upande wa kina onyango?
Em wanajiografia na watalii mtujuze.
FB_IMG_1683977531625.jpg
 
Hivi ni kweli? Ukitaka upate view nzur ya mlima Uamanjaro lazima uende upande wa kina onyango?
Em wanajiografia na watalii mtujuze.View attachment 2620267
Upande wa Tanzania ndio wenye view nzuri na theluji ya kudumu ipo nyingi. Pia upande wa Tanzania ndio wenye watu wengi wanaoishi kwenye misitu ya kijani kibichi, watu hao ndio Wachagga.
 
Oky
 
Back
Top Bottom