Kilimanjaro; Mama na mtoto washikiliwa kwa kupigana na Mumewe hadi kupoteza maisha

Kilimanjaro; Mama na mtoto washikiliwa kwa kupigana na Mumewe hadi kupoteza maisha

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Jeshi la polisi mkoani Kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama Baraka pamoja na mwanae wa kiume aitwae Baraka mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa jina la Fasil Herman mwenye umri wa miaka 57.

Mauaji hayo yametokea katika maeneo ya Forest, kata ya Ngarenairobi, wilaya ya Siha,

Mdogo wa marehemu anasema kuwa kwa mujibu wa mashuhuda waliowahi eneo la tukio ni kuwa mke na mume walikuwa wakipigana na ndipo kijana nae kuingilia ugomvi na hatimae mume kudondoka chini na kufariki dunia.
 
Jeshi la polisi mkoani kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama baraka pamoja na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa jina la Fasil Herman mwenye umri wa miaka 57.

Mauaji hayo yametokea katika maeneo ya Forest, kata ya Ngarenairobi, wilaya ya Siha,

Mdogo wa marehemu anasema kuwa kwa mujibu wa mashuhuda waliowahi eneo la tukio ni kuwa mke na mume walikuwa wakipigana na ndipo kijana nae kuingili ugomvi na hatimae mume kudondoka chini na kufariki dunia.
Wanaume wa kaskazini ni watu wa hovyo sana.
Wamekuwa Hostile kiasi kwamba Wanawake wako kwenye Defence Mode all the Time.

Kuna Prof wa Chuo hapo Morogoro na Mke wake ambaye pia ni msomi sana wanazichapa kila leo.

Arusha na Kilimanjaro nadhani tuna aina nyingine specie za kiume sio hizi za Watu wa Kawaida.
 
jumapili moja kuna mtoto wa watu alitaka kuniletea kesi kama hii nashukuru niliikwepa.nilitaka nimsukume hata kumbamiza ukutani.nikawaza mengi sana,moja wapo kijana kama mimi niende jela kwa kitu ninachoweza kukikwepa sio kweli.
 
Wanaume wa kaskazini ni watu wa hovyo sana.
Wamekuwa Hostile kiasi kwamba Wanawake wako kwenye Defence Mode all the Time.

Kuna Prof wa Chuo hapo Morogoro na Mke wake ambaye pia ni msomi sana wanazichapa kila leo.

Arusha na Kilimanjaro nadhani tuna aina nyingine specie za kiume sio hizi za Watu wa Kawaida.
Hayo mambo ya kawaiida mzee na yanaweza tokea popote
 
Wanaume wa kaskazini ni watu wa hovyo sana.
Wamekuwa Hostile kiasi kwamba Wanawake wako kwenye Defence Mode all the Time.

Kuna Prof wa Chuo hapo Morogoro na Mke wake ambaye pia ni msomi sana wanazichapa kila leo.

Arusha na Kilimanjaro nadhani tuna aina nyingine specie za kiume sio hizi za Watu wa Kawaida.

Kwa hiyo wanaume wote wanaokaa Kilimanjaro ni wa chagga?
 
Back
Top Bottom