Kilimanjaro; Mama na mtoto washikiliwa kwa kupigana na Mumewe hadi kupoteza maisha

Kilimanjaro; Mama na mtoto washikiliwa kwa kupigana na Mumewe hadi kupoteza maisha

Arusha na Kilimanjaro nadhani tuna aina nyingine specie za kiume sio hizi za Watu wa Kawaida.

Kuna species nyingine za wanawake zinazotaka kuwa kichwa cha familia...
 
Unaingilia ugomvi unamtetea mama, baadae unakuja kugundua mama ndiye mwenye kosa,
Mambo yao unawaachia wamalizane nayo wao wenyewe
Ila umri wa miaka 57 mnapigana!!!
 
Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?

Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Mkuu; Na kweli ww ni Bush Dokta.
1. Je; Unakijua kinachowapiganisha mama yako na baba yako?? (Usiseme ndio kwani next swali kwako litakuwa nnani alikuambia?) halafu hebu uione hii algorithm: Baba yako anampiga mama yako au vice versa na ww unampiga Baba yako hadi kumuua. Wewe unadhani nnani atakupiga ww ili mtiririko huo wa kuoneshana ubabe uendelee bila kukatika ?? Mbona baba yako hakumuua mama yako? Sasa kwa nini ww umuue baba?
2. Je; ww mwenye akili umejiamini kivipi kwamba huyo atakayekupiga ww unammudu?
Nyie Vijana wa ck hizi (japo sio wote)mnashangaza sana. Akili zenu, Busara na Hekima cjui mliziuza au mliibiwa.
Hata siwaelewi. Huyo "kijana muuaji" atasubiri "mjengoni" sio chini ya 3yrs+ ili itokee nafasi adimu aweze kuitwa mahakamani akasomewe tuhuma zinazomkabili. Hatopewa ruksa ya kuzungumza chochote dhidi ya tuhuma hizo.
Kumbuka Kesi za aina hiyo hazinaga dhamana. Dhamana pekee iliyopo (tena kwa upendeleo) hapo labda ni kuhamishwa kutoka gereza hili kwenda gereza lile. Otherwise hapo alipo ndo patakuwa nyumbani kwake.
Ushauri wangu kwenu vijana.wadot.com ni huu: Kamwe, never ever, usiingilie ogomvi wa Baba na Mama yako. Utavuna kitu kibaya mno tena sana hapo. Katika hali kama hiyo Fanya hiv: Omba msaada kwa majirani au hata wapita njia kuzuia mapigano yasitokee/yasiendelee. Kama ndo umekuja na ukakuta mapigano yanaendelea, ww simama bila chochote (silaha or whatever) kati yao huku ukiwaomba na kuwasihi sana (kama ni watu wa imani tumia hata maneno kutoka vitabuni) ili waache hicho wanachofanya huku ukiendelea kuwaita kwa sauti majirani au yeyote aliye karibu anayekusikia atoe msaada. Usiondoke/usikimbie eti watajua wenyewe. Hapana hilo nalo ni baya. Ukisepa huweza kutokea la kutokea na ww lazima utaisaidia Jamhuri.
Ukiondoka hili laweza kujitokeza

Narudia tena Usijaribu kuingilia ugomvi wao huo. Nadhani huyu mwamba wa K'njaro atakuwa ni wa mfano hai kwenu na mtajifunza kitu hapo.
Ukiondoka hili 👇 👇 laweza kujitokeza na Utahusika kwa namna moja au nyingine. (Tahadhari- video ina maudhui yanayokera)
 
jumapili moja kuna mtoto wa watu alitaka kuniletea kesi kama hii nashukuru niliikwepa.nilitaka nimsukume hata kumbamiza ukutani.nikawaza mengi sana,moja wapo kijana kama mimi niende jela kwa kitu ninachoweza kukikwepa sio kweli.
Hongera sana mkuu, jumba bovu bhana huwa linadondoka siku hutegemei kabisa.

Jamaa yetu mmoja kila siku ilikuwa ugomvi wa maneno, siku hiyo dharau na matusi vilizidi, akasema ngoja nitie adabu kidogo, alimsukuma mpenzi wake akafariki hapo hapo. Hukumu imetoka mwaka jana na hapo alishasota rumande miaka takribani mitatu. Ni balaa sana
 
jumapili moja kuna mtoto wa watu alitaka kuniletea kesi kama hii nashukuru niliikwepa.nilitaka nimsukume hata kumbamiza ukutani.nikawaza mengi sana,moja wapo kijana kama mimi niende jela kwa kitu ninachoweza kukikwepa sio kweli.
Exactly Yeees. Ulitumia busara ya kiwango cha lami. Hongera sana.
 
Swali zuri sana. i.e. Je, Uhusiano wako na oppressor unakuruhusu utende kama unavyokusudia? Fikiri kwa makini kwanza kabla ya kutenda. Kongole mkuu.
Unajua mkuu kuna vijana wanaongozwa na mihemko ya hisia tu na s hakili.
Wanajikuta wanataka kua juu ya kila kitu, wanajisahaulisha kua kuna mipaka
 
Huko yamezidi.....Ukatiri uko kiwango cha juu hadi Mmewaharibu wanawake.

Women in the North No Longer Believe in Men's Love.
Many will take this statement lightly and as a joke but I believe this is a sad truth and it goes way beyond.

(DNA embedded?!) Just a guess.
 
Back
Top Bottom