Wanaume wa kaskazini ni watu wa hovyo sana.Jeshi la polisi mkoani kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama baraka pamoja na mwanae wa kiume mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa jina la Fasil Herman mwenye umri wa miaka 57.
Mauaji hayo yametokea katika maeneo ya Forest, kata ya Ngarenairobi, wilaya ya Siha,
Mdogo wa marehemu anasema kuwa kwa mujibu wa mashuhuda waliowahi eneo la tukio ni kuwa mke na mume walikuwa wakipigana na ndipo kijana nae kuingili ugomvi na hatimae mume kudondoka chini na kufariki dunia.
Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?Ugomvi wa wenza/wazazi usiingilie
Hayo mambo ya kawaiida mzee na yanaweza tokea popoteWanaume wa kaskazini ni watu wa hovyo sana.
Wamekuwa Hostile kiasi kwamba Wanawake wako kwenye Defence Mode all the Time.
Kuna Prof wa Chuo hapo Morogoro na Mke wake ambaye pia ni msomi sana wanazichapa kila leo.
Arusha na Kilimanjaro nadhani tuna aina nyingine specie za kiume sio hizi za Watu wa Kawaida.
Huko yamezidi.....Ukatiri uko kiwango cha juu hadi Mmewaharibu wanawake.Hayo mambo ya kawaiida mzee na yanaweza tokea popote
Unajua kisa chao!? Au unashoboka tuAcha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?
Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Wanaume wa kaskazini ni watu wa hovyo sana.
Wamekuwa Hostile kiasi kwamba Wanawake wako kwenye Defence Mode all the Time.
Kuna Prof wa Chuo hapo Morogoro na Mke wake ambaye pia ni msomi sana wanazichapa kila leo.
Arusha na Kilimanjaro nadhani tuna aina nyingine specie za kiume sio hizi za Watu wa Kawaida.
Anazingua huyoUnajua kisa chao!? Au unashoboka tu
Si umesikia leo leo Arusha Mtu kalawiti Mtoto wake wa miezi 9?Kwa hiyo wanaume wote wanaokaa Kilimanjaro ni wa chagga?
Kuanza kuchukua mashoka na mapanga ndio nini sasa kama sio kuchanganyikiwa?Unajua kisa chao!? Au unashoboka tu
Huyo mtu ni shetani hana roho ya kibinadamušSi umesikia leo leo Arusha Mtu kalawiti Mtoto wake wa miezi 9?
Si umesikia leo leo Arusha Mtu kalawiti Mtoto wake wa miezi 9?
Imekuuma?Naye ni mchaga Sababu anakaa Arusha? Kwa hiyo wewe ukibaka Leo Dar tuwalaumu wazaramo? Hemu jitikise kidogo labda akili zitarudi kichwani zinapotakiwa kukaa