Kilimanjaro; Mama na mtoto washikiliwa kwa kupigana na Mumewe hadi kupoteza maisha

Ugomvi wa wenza/wazazi usiingilie
Upo sahihi ila kuamua ni vizuri inapobidi, kuna watu wanaishi na majuto ya kushindwa kutoa msaada kwa kuamua ugomvi na kuwapoteza wapendwa wao mifano ipo mingi ni vile tu haiwekwi hadharani.

Ila kuingilia ugomvi wa wazazi kwangu mimi binafsi imewahi nitokea na ni experience mbaya kuwahi kutokea kwenye maisha yangu, lile tukio liliniumiza sana na yamkini nisingeingilia ingekuwa mbaya zaidi. Nachoshukuru kupitia tukio lile kuna mambo yalibadilika sana.
 
jumapili moja kuna mtoto wa watu alitaka kuniletea kesi kama hii nashukuru niliikwepa.nilitaka nimsukume hata kumbamiza ukutani.nikawaza mengi sana,moja wapo kijana kama mimi niende jela kwa kitu ninachoweza kukikwepa sio kweli.
Busara🙏
 
Hapo unakuta mwanamke ameshaota mapembe ni jeuri kama ngiri
 
Hebu fafanunua kidogo..nikajua wanawake ndo wenye matatizo
 
Fuatilia kusaga Tv and Gadi Tv , kuna matukio huko ...Jana tu nimeona kuna jamaa kamlawiti mwanawe wa miezi 11 mpaka kufa.
Inasikitisha sana..sasa anamlawiti mpk kufa huwa nawaza mengi mnoo wakati wa tukio huwa wanawafunika midomo?.maana mtt lazima atalia tuu..au huwa wanawanyonga thena ndo wanawaingilia..huwa nawaza mno..kifo cha kikatili sana aisee
 
Unaweza kuta baba alikuwa anampiga mama mbele ya watoto bila huruma au anamfokea kwa ukali. Dogo ameyashuhudia hayo tokea utotoni sasa amekuwa mkubwa ameweka kisasi na baba yake na amejikaza kwa muda mrefu akaona sasa basi.

Wanawake wa kichaga wanapitia wakati mgumu sana eneo la mahusiano. Ukienda kukaa kwenye jamii ya kichagga ndio utaelewa kwanini wanawake wa kichaga wanaendekeza sana pesa mbele na utu nyuma na hawana yale mapenzi ys kitanga. Ingawa hawa wanawake wa kichaga wa Dar waliozaliwa na kukulia Dar wapo tofauti kidogo yaani hadi wanaumizwa na mapenzi.
 
Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?

Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Mkuu sio kukosa akili huo ni mtazamo wako tuu. Maana kuna watu wengne pia huona hata kunywa pombe ni kukosa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…