Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?
Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Mkuu; Na kweli ww ni
Bush Dokta.
1. Je; Unakijua kinachowapiganisha mama yako na baba yako?? (Usiseme ndio kwani next swali kwako litakuwa nnani alikuambia?) halafu hebu uione hii
algorithm: Baba yako anampiga mama yako au
vice versa na ww unampiga Baba yako hadi kumuua. Wewe unadhani nnani atakupiga ww ili mtiririko huo wa kuoneshana ubabe uendelee bila kukatika ?? Mbona baba yako hakumuua mama yako? Sasa kwa nini ww umuue baba?
2. Je; ww mwenye akili umejiamini kivipi kwamba huyo atakayekupiga ww unammudu?
Nyie
Vijana wa ck hizi (
japo sio wote)mnashangaza sana. Akili zenu, Busara na Hekima cjui mliziuza au mliibiwa.
Hata siwaelewi. Huyo "
kijana muuaji" atasubiri "mjengoni" sio chini ya 3yrs+ ili itokee nafasi adimu aweze kuitwa mahakamani akasomewe tuhuma zinazomkabili. Hatopewa ruksa ya kuzungumza chochote dhidi ya tuhuma hizo.
Kumbuka Kesi za aina hiyo hazinaga dhamana.
Dhamana pekee iliyopo (
tena kwa upendeleo) hapo labda ni kuhamishwa kutoka gereza hili kwenda gereza lile. Otherwise hapo alipo ndo patakuwa nyumbani kwake.
Ushauri wangu kwenu
vijana.wadot.com ni huu: Kamwe, never ever, usiingilie ogomvi wa Baba na Mama yako. Utavuna kitu kibaya mno tena sana hapo. Katika hali kama hiyo Fanya hiv: Omba msaada kwa majirani au hata wapita njia kuzuia mapigano yasitokee/yasiendelee. Kama ndo umekuja na ukakuta mapigano yanaendelea, ww simama bila chochote (
silaha or whatever) kati yao huku
ukiwaomba na kuwasihi sana (kama ni watu wa imani tumia hata maneno kutoka vitabuni) ili waache hicho wanachofanya huku ukiendelea kuwaita kwa sauti majirani au yeyote aliye karibu anayekusikia atoe msaada. Usiondoke/usikimbie eti watajua wenyewe. Hapana hilo nalo ni baya. Ukisepa huweza kutokea la kutokea na ww lazima utaisaidia Jamhuri.
Ukiondoka hili laweza kujitokeza
Narudia tena
Usijaribu kuingilia ugomvi wao huo. Nadhani huyu mwamba wa K'njaro atakuwa ni wa mfano hai kwenu na mtajifunza kitu hapo.
Ukiondoka hili 👇 👇 laweza kujitokeza na Utahusika kwa namna moja au nyingine. (
Tahadhari- video ina maudhui yanayokera)