Kilimanjaro: Mkulima awamiminia risasi mke na mtoto wake, sababu zaelezwa

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28).

Chanzo Bongo five
 
Kuna wakati unafikia mama na mwanae wanapanga utaratibu juu yako baba.

Kiburi, jeuri ufedhuli ndiyo umetamalaki, hapo unajikuta unamsongo wa maeazo.

Maamuzi unayochukua inategemeana na serikali iliyopo kichwani mwako.
 
Aisee!
 
Ukiowa mchagga ukubali umeolewa, any time paap unageukiwa 😁 poleni sana wanaume wenzangu. HAYA NI YAKWELI LAKINI???????
 
Back
Top Bottom