Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28).
Sawa mangiKituo cha polisi cha kujitegemea hapa ufilipino mtaa wa Gemini β
Ya kweli jombaa