Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Na hii hasa ndo huw sabb y matatizo y akili.. jamii in mchango mkubwa mno kupoteza wat wakeAngepata mtu wa kumtia moyo dakika chache tuu angenusurika, lakini pengine maskini aliporudi nyumbani alikumbana na vichambo
Katoto kalikuwa kamepevuka home wanakabaniaKuna haya tupunguze Umri wa consent kuwa 15, ili watoto kama hawa waweze kupata Wafariji
Mkuu Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa. Jiulize wangapi wana usongo wa mawazo hata kumzidi na hata hawapati washauri na faraja lakini hawajiui.Angepata mtu wa kumtia moyo dakika chache tuu angenusurika, lakini pengine maskini aliporudi nyumbani alikumbana na vichambo
Kweli Mkuu Jamii Zetu zimekuwa Judgemental sana Kama ni Mfuatiliaji wa Tuko Talks Kenya Hebu pitia Story ya 17/8/2021 Utaona ukatili wa Jamii zetuAngepata mtu wa kumtia moyo dakika chache tuu angenusurika, lakini pengine maskini aliporudi nyumbani alikumbana na vichambo
Ni vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?Angepata mtu wa kumtia moyo dakika chache tuu angenusurika, lakini pengine maskini aliporudi nyumbani alikumbana na vichambo
Daaaah😭😭😭😭😭Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo
Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo alijinyonga kwa vitenge viwili alivyovifunga juu ya paa la nyumba aliyokuwa akiishi .
Ameeleza kuwa katika uchunguzi wa awali inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo baada ya kusimamishwa masomo na kwamba mwili wa marehemu tayari umefanyiwa uchunguzi na daktari na kukabidhiwa kwa ndugu zake kwa taratibu za mazishi.
Hakajabaniwa na hom, hako kamesimamishwa masomo kwa utovu wa nidhamu,hom wanakosa gani?Katoto kalikuwa kamepevuka home wanakabania
hakuna kitu kama icho wewe sio vifo vyote Mungu anavipangaMkuu Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa. Jiulize wangapi wana usongo wa mawazo hata kumzidi na hata hawapati washauri na faraja lakini hawajiui.
This is true forces of nature.
Wanafarijika bila shaka.. Kukosea kupo katika maisha na wote tunakoseaNi vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?
Ni vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?
Huwezi ukajua kwasababu hujakulia kirohohakuna kitu kama icho wewe sio vifo vyote Mungu anavipanga
Alipangiwa nanani?Mkuu Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa. Jiulize wangapi wana usongo wa mawazo hata kumzidi na hata hawapati washauri na faraja lakini hawajiui.
This is true forces of nature.