Sio kweli,katika malezi, mzazi anafanya kile anachopaswa kufanya na mtoto ana sehemu yake ya uamuzi,tena huyo wa sekondari ana uelewa mzuri tu.
Kwahio akifanya jambo baya sio kwamba wazazi ndio wana kosa,kosa ni lake na anapaswa ajue akifanya kosa yeye ndio atakumbana na madhara yake kabla ya wazazi.
Hata wewe kuna tabia fulani umefanya ukiwa shuleni sio kwamba wazazi hawajawahi kukuonya ila ulifanya ukiamini hutapata madhara kwa kuamua tu mwenyewe kichwani kwako au kushawishiwa na wenzako.
Kwahio tusilaumu tu wazazi,Kuna kipindi Kikwete aliwahi kuwaambia wanafunzi waache kiherehere,sababu alijua nao wana changia katika tatizo.