Kwahiyo kama ni hivyo unafanyaje, unamchapa? Hivo ndiyo mnavoharibu watoto.Ni vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?
MUNGUAlipangiwa nanani?
Unaweza kumchapa au usimchape, lakini lazima umkanye kwa hizo tabia zake na umueleze madhara ya matendo yake na kwamba asirudie,hivyo achukulie kusimamishwa kwake kama somo na wakati anasubiri adhabu kwisha atafakari kubadili mwenendo wake kwani akirudia madhara yanaweza kuwa makubwa zaidi.Kwahiyo kama ni hivyo unafanyaje, unamchapa? Hivo ndiyo mnavoharibu watoto.
Pumzika kwa amani manka....
Unamjua? Pole sanaTwende tukampe heshima yake ya mwisho, Marehemu alikuwa kipenzi cha watu hatukutegemea angekufa kifo kama hiki, Mungu amlaze mahala pema peponi aamin
Unamjua? Pole sana
Pole sanaYeah namjua marehemu acha akapumzike
Sio kweli,katika malezi, mzazi anafanya kile anachopaswa kufanya na mtoto ana sehemu yake ya uamuzi,tena huyo wa sekondari ana uelewa mzuri tu.Unatakiwa ujue anafanya hivyo kwa sababu umeshindwa (wewe) kumlea kumwezesha kujisimamia.
Sio kweli,katika malezi, mzazi anafanya kile anachopaswa kufanya na mtoto ana sehemu yake ya uamuzi,tena huyo wa sekondari ana uelewa mzuri tu.
Kwahio akifanya jambo baya sio kwamba wazazi ndio wana kosa,kosa ni lake na anapaswa ajue akifanya kosa yeye ndio atakumbana na madhara yake kabla ya wazazi.
Hata wewe kuna tabia fulani umefanya ukiwa shuleni sio kwamba wazazi hawajawahi kukuonya ila ulifanya ukiamini hutapata madhara kwa kuamua tu mwenyewe kichwani kwako au kushawishiwa na wenzako.
Kwahio tusilaumu tu wazazi,Kuna kipindi Kikwete aliwahi kuwaambia wanafunzi waache kiherehere,sababu alijua nao wana changia katika tatizo.
wewe uliekulia kiroho tuambieHuwezi ukajua kwasababu hujakulia kiroho
hujawahi kujuta kuwaweka watoto wako Kama rafiki zako?Aisee ndiyo maana wanangu mimi ni rafki zangu, mtoto akimwogopa mzazi akaogopa na waalimu wake hiyo ni hatari[emoji22]
Unamjua nipo sungu hapa.Yeah namjua marehemu acha akapumzike
Mbona Grace wa ifm mamaye alimuwahi Yuko kitaa anadunda. Na Tena atapata mme na familia fresh tu maisha yataenda. Ni Nani asiyefanya zinaa anyooshe mkonoNi vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?
Umenikumbusha story moja iliwahi kutokea huku zenj. Kuna msichana wa form four picha zake za uchi zilirushwa kwenye mitandao. Yule mtt inaonekana alipata ushauri wa kisaikolojia. Baada ya siku chache alirudi tena kwenye mtandao kuomba radhi kwa wazazi wake, kwa Serikali pamoja na jamii yote. Wako waliombeza lkn inaonekana wazazi wake walimsameh na kuwa upande wake kwa kujua binaadam anakosea wakati wowote. Hakuna mkamilifu.Wanafarijika bila shaka.. Kukosea kupo katika maisha na wote tunakosea
Kabisa mkuu. Sheria ya miaka 30 jela ni ya kiuonevu, kikandamizaji na unyanyasaji.Kuna haya tupunguze Umri wa consent kuwa 15, ili watoto kama hawa waweze kupata Wafariji