Mbona Grace wa ifm mamaye alimuwahi Yuko kitaa anadunda. Na Tena atapata mme na familia fresh tu maisha yataenda. Ni Nani asiyefanya zinaa anyooshe mkono
Japan ni nchi ambayo vijana wa shule hasa secondary hadi chuo wanajiua sana kutokana na stress za shule zisizo na future.Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo
Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo alijinyonga kwa vitenge viwili alivyovifunga juu ya paa la nyumba aliyokuwa akiishi .
Ameeleza kuwa katika uchunguzi wa awali inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo baada ya kusimamishwa masomo na kwamba mwili wa marehemu tayari umefanyiwa uchunguzi na daktari na kukabidhiwa kwa ndugu zake kwa taratibu za mazishi.
Hapo kwenye kubarehe hua pabaya sana. Mimi nlivofika form two siku moja nlijitafakari nkaona nmebadlika sana na nkiendelea huko nnakoelekea ntaishia pabaya, nashkuru mungu nlifanikiwa kujirudsha kwenye mstari.Mtoto anapozaliwa is empty he knows A and B from parents, anakoalekea ni matokeo ya malezi ya Baba na Mama, this include every decisions they make!
Mmh...Ni vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?
Nimeichek yule sista... Dah huzuni sanaKweli Mkuu Jamii Zetu zimekuwa Judgemental sana Kama ni Mfuatiliaji wa Tuko Talks Kenya Hebu pitia Story ya 17/8/2021 Utaona ukatili wa Jamii zetu
Nimeichek yule sista... Dah huzuni sana
Chap tunatengeneza mwingine kama huyu.Na hii hasa ndo huw sabb y matatizo y akili.. jamii in mchango mkubwa mno kupoteza wat wake
Mim n wewe au [emoji39]Chap tunatengeneza mwingine kama huyu.
Chukulia ni madhaifu yake,Ni vigumu kumtia moyo haraka kiivyo,binti yako karudishwa nyumbani,unaamua kufuatilia unaambiwa kakamatwa akiwa bweni la wanaume ametoka kulala au kakamatwa uwanjani anafanya mapenzi,au alitoroka kaenda disco,hivi huyo unaanzaje kumfariji kwanza?
Uko sahihi piaChukulia ni madhaifu yake,
pia angalia kama ulishawahi kumuelimisha juu ya kukabiliana na vishawishi/mihemko ya mwili
mimi nina watoto wawili wa kwanza wa kiume ana 4 yrs na wa pili wa kike ana 2yrs, siku zote huwa naumiza kichwa namna ya kuwalea katika misingi imara ili waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo
Hata ikitokea binti yangu akipata ujauzito kabla ya wakati mimi nitakua tayari kuwajibishwa
Baada ya siku chache alirudi tena kwenye mtandao kuomba radhi kwa wazazi wake, kwa Serikali pamoja na jamii yote. Wako waliombeza lkn inaonekana wazazi wake walimsameh na kuwa upande wake kwa kujua binaadam anakosea wakati wowote. Hakuna mkamilifu.[emoji1548][emoji1752][emoji1752][emoji1752]Umenikumbusha story moja iliwahi kutokea huku zenj. Kuna msichana wa form four picha zake za uchi zilirushwa kwenye mitandao. Yule mtt inaonekana alipata ushauri wa kisaikolojia. Baada ya siku chache alirudi tena kwenye mtandao kuomba radhi kwa wazazi wake, kwa Serikali pamoja na jamii yote. Wako waliombeza lkn inaonekana wazazi wake walimsameh na kuwa upande wake kwa kujua binaadam anakosea wakati wowote. Hakuna mkamilifu.
Sisi mpaka kufika tulipofika hapa tushafanya maovu mengi tu. Tushaumiza wengi tu. Tumesamehewa na maisha yameendelea na sasa ni watu tunaoheshimika katika jamii zetu.