mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
- Thread starter
-
- #21
Wachaga bhana!! Mambo ya kujimwambafai na ukabila kama wakenya.
Mbunge wa wapi huyo'Kuna wasanii wengi wenye asili ya Kigoma kama Diamond, Ali Kiba, Mrisho Mpoto na wengine wengi na huwezi kuwa msanii mzuri kama huna asili ya Kigoma,'' na haya yamedhihirishwa hata na kauli ya Mbunge Nswanzingwanko .. angalia pia top artists wanaoiwakilisha bongo kwa ujumla ni wa zile zile pande za mwisho wa reli..
List iko pouwa..
Tattizo wewe ukabila umekujaa kichwani na unakupa upofu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
apige kushabu ya maana akisizi nishtueNgoja nikamvutishe huyu
[emoji2][emoji2]apige kushabu ya maana akisizi nishtue
Dj D.Ommy muongeze kwenye list
Mbona hujatuletea na list ya wapigajiHappynyerereday to everyone
Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania
Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)
Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain
Artists
Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)
Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa
Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper
Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata
Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani
DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu
Video vixen
1) Cappuccino Tunda
Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...
Happy nyerere day to everyone.....halla .....
Mhandisi inakuwaje? Niko kambi ya nyoka kesho nitakuwa engaruka embu nipe koodineti kama unafikika.😘umlaki na kitu cha Oldonyo Sambu au Kisimiri.....
Mhandisi inakuwaje? Niko kambi ya nyoka kesho nitakuwa engaruka embu nipe koodineti kama unafikika.😘
Roja roja mhandisi nimekukopi vilivyo, wacha nikikaribia niku📞mhandisi Nadhani usalama upo......baada ya kukusoma...... nadhani koodineti nikupe za Lokii kupitia Terat..... ni muda sana toka tusitishe zoezi la miundo mbinu..... fanya mchakato ili tuboreshe soko la mbuzi kwa Mrombooo.....