Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Hivi kwanini watu wa huko wanapenda kuiweka hii mikoa kama mkoa mmoja? Kwanini kila mkoa usijivunie vipaji vyakevya mkoa husika mpaka muunganishe halafu ndio mseme vipaji kutoka huko? Kwanini isiwepo list pekee inayojitegemea ya vipaji vya Arusha na nyingine vya Kilimanjaro..mikoa mingine ingekuwa inafanya hivyo hakika mwisho wa siku tungeona Kaskazini kwa vipaji si chochote si lolote mfano Tusem Morogoro,Pwani na Dar es salaam ina vipaji vingi au Kigoma na Rukwa au Lindi na Mtwara..au tuje Mwanza na Mara na shinyanga tuunganishe tuseme mikoa hii ina vipaji vingi...watu wa Arusha na Kilimanjaro wanahisi kama wapi mkoa mmoja vile
Ukanda waliwah kwenda kutaka Uhuru kwa ajili ya kaskazini tu enzi hizo hao jamaa ni Wa MIMI Hatar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati picha manyara nao wakianzisha Uzi manyara na Arusha,au tanga wakianzisha Uzi tanga na kili,[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787] halafu wakabagua mkoa mmoja Kati ya hiyo miwili,mfano mademu wa tanga na manyara wakali balaaa umbo namba 8,mademu wa Kilimanjaro Kama sanamu la Michelin tyre
Mpuuzi huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni Wa kutandikwa kias siku nyingine ukiwa za kuja na ungese wako Wa ukabila na ukanda uishie huko huko malaka we.

Sent using Jamii Forums mobile app
Comments zako tuu zinaonyesha tuu una Hali mbaya kiuchumi ..acha nkuache naona unataka kunipumzikia wakati nko bize nna Mambo mengi ya kufanya na sio kubishana na unsound mind km ww.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana wakawa cio bora Ila nnachojivunia ni kuwa tume cover entertainment industry kwa ujumla Yan kaskazini tunaweza tukasimama sisi km sisi na tukawakilisha vyema
Huyujamaa kichwani hamna kitu acha mada zakutugawa wa Huko tulishatoka Dunia inaenda Kasi....
 
Back
Top Bottom