Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
'Kuna wasanii wengi wenye asili ya Kigoma kama Diamond, Ali Kiba, Mrisho Mpoto na wengine wengi na huwezi kuwa msanii mzuri kama huna asili ya Kigoma,'' na haya yamedhihirishwa hata na kauli ya Mbunge Nswanzingwanko .. angalia pia top artists wanaoiwakilisha bongo kwa ujumla ni wa zile zile pande za mwisho wa reli..
Mbunge wa wapi huyo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tattizo wewe ukabila umekujaa kichwani na unakupa upofu.

Hebu taja waarusha wapo wangapi hapa:-


1) Young D

2) Shilole

3) Country Boy

4) King Kapita

5) Baba Levo

6) Cyril

7) Jux

8) Mo Racka

9) Young Killa

10) Nyandu Tozi

11) Mr Blue*

12) DuduBaya

13) Kala Pina

14) Masawe mtata

15) Shetta

16) H Baba

17) Chibwa

18) Dogo Mfaume

19) Sam Machozi

20) Queen Darline

21) Kimbunga

22) Bonta

23) Keysha

24) Berry White

25) Berry Black

26) Gerry Wa Rhymes

27) Mansuli

28) Ney Wa Mitego

30) Isha Mashauzi*

31) Omar Tego*

32) Q Chilla*

33) Izzo Bizness

34) Whitness

35) Mataluma*

36) Manzese Crew

37) Mh Temba*

38) KR

39) Bibi Cheka

40) Babuu Wa Kitaa

41) Mbishi Real

42) Timbulo

43) Bonge La Nyau

44) Abdu Kiba

45) Tunda Man

46) Recho

47) Barnaba*

48) Menina

49) Baby Madaha

50) Snura
 
Kigoma ni habar nyingine :mtua post inabd uwe mpole tu wasanii wachuga hawana impact yoyote
 
Appreciate Dingii,japo kuna watu kwenye List sio wa Waenduru wa MS/Kilimanjaro na Chugastan/Arusha...hadi Langa?..Roma ni Tanga,Jonijoo na Nahreel ni Mara
 
Happynyerereday to everyone

Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania

Mada hii itajikita zaidi katika katika music industry , Media na bongo movie industry (entertainment)

Producers
1) Master j
2) Dx
3) Nah reel
4) Chizan brain

Artists

Hip-hop
1) Joh makini
2) Nikki wa pili
3) Langa kileo
4) One the incredible
5) mabeste
6) bilnass
7) Rosa ree
8) King kapita ( It by proffesional)
9)salmin swag (OMG)
10)nay wa mitego
11) Mh temba
12) Lord eyez
13) g-nako
14) Bou nako
14) Stoper ryme
15) Dogo janja
16) Montra the future
17) Chin beez
18) jambo squad
19) jcb
20) chindoman
21) Chaba
22) Lard fire
23) Gentriez
24) Rafu mc
25) Ibra da hustler
26) Fido vatoloko
27) Roma
28) Dark master
29) Father neli ( X-plastaz)
30) Maujanja supply (Kulwa na dotto)

Singers
1) Mr nice
2) Barnaba boy classic
3) Vanessa mdee
4) Mimi Mars
5) Nandy
6) Haika (navykenzo)
7) Snura mushi (singeli)
8) Walter chilambo
9) Maua sama
10) Whozu
11) Rama dee
12) Wildad agripa

Bongo movies
1) Elizabeth michael (Lulu)
2) Irene uwoya
3) Irene Paul
4) Diana kimary
5)Sabrina rupia
6) Jackline wolper

Comedians
1) Katarina
2) Mr beneficial
3) Idris sultan
4) Kiwewe
5)Masawe mtata

Presenters
1)Milad-ayo
2) Sammisago
3)b-dozen
4) Adamchomvu
5) kenedy the remedy
6)jonijo
7) Ana Peter
8) Frida amani

DJ's
1) Dj summer
2) Dj mavufu

Video vixen
1) Cappuccino Tunda

Kilimanjaro na Arusha are best regions in this country katika entertainment Industry...

Happy nyerere day to everyone.....halla .....
Mbona hujatuletea na list ya wapigaji
 
Mhandisi inakuwaje? Niko kambi ya nyoka kesho nitakuwa engaruka embu nipe koodineti kama unafikika.😘

mhandisi Nadhani usalama upo......baada ya kukusoma...... nadhani koodineti nikupe za Lokii kupitia Terat..... ni muda sana toka tusitishe zoezi la miundo mbinu..... fanya mchakato ili tuboreshe soko la mbuzi kwa Mrombooo.....
 
mhandisi Nadhani usalama upo......baada ya kukusoma...... nadhani koodineti nikupe za Lokii kupitia Terat..... ni muda sana toka tusitishe zoezi la miundo mbinu..... fanya mchakato ili tuboreshe soko la mbuzi kwa Mrombooo.....
Roja roja mhandisi nimekukopi vilivyo, wacha nikikaribia niku📞
 
Back
Top Bottom