Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Mmmh kuhusu suala la burudani in general tunaanza na kigoma tofauti na hapo ni ubatili
Wanaweza wakawa hats mia mbili ila hawana vipaji,wanaforce.Ucheshi ni Moro,kuimba kigoma mbeya na mwanza na pwani(taarabu) mpira mbeya, kigoma pwani,songea.Wachaga biashara shule NATO huwa wanafirce hawana akili saana kama nshomile na sukuma.
 
mr nic $ barnaba boy a singers frm hom place nafurah kuwaona kwa list japo mmoja kabakia jina tu
 
Katika hawa wote tutajie aliefanya kitu kikubwa ambacho nchi inajivunia tofauti na hao ambao sio wa kaskazini ?
 
Basi simama kama nyie mpeleke show huko kwenu. Cha ajabu sioni wasanii hawa wakipeleka show Moshi sijui wakazi wa huku hawalipi viingilio.
 
Dhamira ya wimbo ule ni utalii tu wala sio ubinafsi , kuna watu ni wabinafsi kwa kikanda
Utalii gani pale? mashairi yalikuwa yanazungumizia wanajivunia kuzaliwa kigoma na kutaja watu maarufu waliozaliwa kigoma,na kuitukuza kigoma
 
Kigoma si ndio walianza kujikusanya na kujisifu hadi wakatoa wimbo? Au umesahau?
Hawakujisifu walitoa wimbo Mkuu na utaratibu huo upo tangu kitambo hata MBARAKA MWISHEHE aliwahi kuimba kuhusu MOROGORO nk...bt Uzi Wa huyo kunguru mtoa mada na baadhi ya reply zake utaona kuna kitu zaidi ya hicho alichoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maudhui ya ule wimbo na hii thread yapo sawa tu..Wimbo unataja na kujivuna kuwa Kigoma ina wasanii, wana michezo, warembo, wanasiasa nguli na ndivyo thread inasema pia
 
19
30
 
Utalii gani pale? mashairi yalikuwa yanazungumizia wanajivunia kuzaliwa kigoma na kutaja watu maarufu waliozaliwa kigoma,na kuitukuza kigoma
Nitajie neno moja tu la kibaguzi katika mashairi yale , toka lini kusema umezaliwa Kigoma.likawa neno la kibinafsi ? Narudia tena kuna watu wana ubaguzi wa kikanda hilo alipingiki hakuna haja ya kutoa mifano
 
Mzee kwani kwenye thread kuna neno gani la kibaguzi? Yeye pia kafagilia kuwa kwao kuna vipaji vingi, kama wimbo wa Kigoma ulivyo
 
SOCCER???
 
Mzee kwani kwenye thread kuna neno gani la kibaguzi? Yeye pia kafagilia kuwa kwao kuna vipaji vingi, kama wimbo wa Kigoma ulivyo
Nafikiri kumbe ujaelewa kuna mdau alikuwa anajibiwa comment yake sio mtoa thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…