Kilimanjaro na Arusha mikoa iliyobarikiwa vipaji vya kila aina

Nitajie neno moja tu la kibaguzi katika mashairi yale , toka lini kusema umezaliwa Kigoma.likawa neno la kibinafsi ? Narudia tena kuna watu wana ubaguzi wa kikanda hilo alipingiki hakuna haja ya kutoa mifano
Kabisa Mkuu na hiyo ni tangu huko wana tabia za kujiona wao zaidi na huyu mpuuzi akataka kutuletea unyau wake kwenye jukwaa ni kumtandika hadi ajue huo upuuzi ulishapitwa na wakat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maudhui ya ule wimbo na hii thread yapo sawa tu..Wimbo unataja na kujivuna kuwa Kigoma ina wasanii, wana michezo, warembo, wanasiasa nguli na ndivyo thread inasema pia
Kama unafatilia muziki hata LORD EYEZ na FID Q walifanya ngoma "hakuna mahali kama A town" na Fid "anasema hakuna mahali kama mwanza"...bt ni sanaa na Kila mtu akapasifu kwake kwa jinsi anaweza ila siyo huyu kunguru eti " TUKIAMUA SISI KAMA SISI TUNAJITOSHELEZA" mpuuzi mmoja huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimesoma post ya jamaa sijaona hayo maneno
Ninavyojua watu kutambiana kwao ni kawaida sana, wala hata sio bongo tu
 
Hapo umebase kwenye kabila au makazi ? Maana mtu anaweza akawa mchaga lakini hata moshi hajawahi kukaa , pia anaweza kukulia arusha lakini sio mmasai au mmeru
 
Wanaweza wakawa hats mia mbili ila hawana vipaji,wanaforce.Ucheshi ni Moro,kuimba kigoma mbeya na mwanza na pwani(taarabu) mpira mbeya, kigoma pwani,songea.Wachaga biashara shule NATO huwa wanafirce hawana akili saana kama nshomile na sukuma.
Wasaka tonge, alafu wanabebana kusaidiana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…