Kilimanjaro: Polisi yamsaka Mwalimu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza

Tuliwaambia kuchapa chapa watoto sio wako ni kujialibia maisha

Ona uyu, walimu fundisha Rudi kwako nidhamu atafundishwa na wazazi wake....!

Sijui mmeelewa?
Ndugu yangu, tume ya manguli wa lugha imepitia ulichokiandika hapo, mpaka kufikia sasa nasikitika kwa kusema hujaeleweka mkuu.
 
Inna Lilaah wa inna ilayhi raajiuun.
Mwalimu akimbie mpaka mwisho.Eti bora abakie.Kwanza ufanywe uchunguzi ikiwa mtoto alikuwa na changamoto nyengine basi mwalimu ndipo aambiwe ajitokeze.
 
Kwaiyo majibu ya uchunguzi wa mwili wa huyo mwanafunzi yameonesha kifo chake kimetokana na viboko au ?
 
Yesuuu, jamani mbona ukatili uliopitiliza huu mtoto wa lakwanza jamani unamchapaje hivyo?
 
mwalimu noma atakuwa kavuka boda hapo chaaap , kaingia kwa hustler ruto, huko ajira ziko nyingi yani hata akiandamana analipwa na odinga. ila haya yote yanatokana na stress za walimu, hawana furaha kabisa.
 
itakuwa bahati mbaya lakini kulikuwa hamna haja ya kukimbia.

watoto wa siku hizi ni biskuti.

polee mwalimu hapo unakuta ni fimbo moja tuu.
 
semeni mnatoa kiasi gani raia tuanze kazi mana Dunia hii ni ndogo atapatikana chap tu
 
hivi Walimu hawatumii social media wakaona yanayowakuta wenzao wakawa najali bishara zao wakaachana na watoto wa wenyewe ?

unajua sisi Wazazi tunapenda huduma zao ila linapokuja saala pa kumuumiza Mwanangu mi mwenyewe hatuwezi kuelewana kabisa
 
Walimu msiwachape watoto
Watoto wengine ni wagonjwa wa magonjwa hatari ya kurithi.
Nidhamu Mzazi atamaliza au Sisi kama Walimwengu tutamunyoosha.
 
Polisi wetu bhana! Angekuwa huyo mtuhumiwa ni polisi mwenzao, sidhani kama ungewaona wakijishughulisha kwa chochote.

Zaidi tu wangetafuta kila namna ya kumlinda ili asifikishwe kwenye vyombo vya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…