Humu ndani tulishasemaga jmn.Walimu angalieni msiwaletee wanafunzi stress zenu za maisha.Umegombana na mke unapiga mwanafunzi kama unataka kuua,malengo hayajatimia piga mwanafunzi kama ngombe.Madhara ndio hayo sasa ameua kakosa vyote kazi na uhuru binafsi.Fundisha nenda zako nyumbani mengine achana nayo.