Kilimanjaro: Sheria kutungwa, Wazazi wasiolipia chakula shuleni kufungwa jela

Kilimanjaro: Sheria kutungwa, Wazazi wasiolipia chakula shuleni kufungwa jela

Kwani kumfunga mtu ndio kupata suluhu, msipo angalia ndio mtaongeza tatizo, maana mwanafunzi anamahitaji zaidi ya chakula awapo shuleni, sasa mnamfunga mzazi kwa ajili ya chakula je mahitaji mengine mwanafunzi atapata wapi na mmemfunga mzazi wake
 
Mzazi akose 35000 kwa muhula au 70000 kwa mwaka halafu uje kumpiga faini ya 200000 ataitolea wapi??
 
Icho chakula mtakachoenda walisha hao wazazi jela, Si mpeleke huko mashuleni.
 
Back
Top Bottom