Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 2, 2022 #21 Tomaa Mireni said: Pamoja na elimu bure bado moshi michango ya chakula imekuepo Click to expand... sio fair kabisa... hatukatai michango ya msosi ila sio ilazimishwe maana wazazi hawafanani uwezo
Tomaa Mireni said: Pamoja na elimu bure bado moshi michango ya chakula imekuepo Click to expand... sio fair kabisa... hatukatai michango ya msosi ila sio ilazimishwe maana wazazi hawafanani uwezo
Tomaa Mireni JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 2,395 Reaction score 2,391 Aug 2, 2022 #22 Joseverest said: sio fair kabisa... hatukatai michango ya msosi ila sio ilazimishwe maana wazazi hawafanani uwezo Click to expand... Kweli kabisa,ilipaswa kuwa hiari,hapo ni kukumbiza watoto shule
Joseverest said: sio fair kabisa... hatukatai michango ya msosi ila sio ilazimishwe maana wazazi hawafanani uwezo Click to expand... Kweli kabisa,ilipaswa kuwa hiari,hapo ni kukumbiza watoto shule
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,052 Reaction score 585 Aug 2, 2022 #23 Kwani kumfunga mtu ndio kupata suluhu, msipo angalia ndio mtaongeza tatizo, maana mwanafunzi anamahitaji zaidi ya chakula awapo shuleni, sasa mnamfunga mzazi kwa ajili ya chakula je mahitaji mengine mwanafunzi atapata wapi na mmemfunga mzazi wake
Kwani kumfunga mtu ndio kupata suluhu, msipo angalia ndio mtaongeza tatizo, maana mwanafunzi anamahitaji zaidi ya chakula awapo shuleni, sasa mnamfunga mzazi kwa ajili ya chakula je mahitaji mengine mwanafunzi atapata wapi na mmemfunga mzazi wake
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Aug 2, 2022 #24 Kadhi Mkuu 1 said: Hata mimi najiuliza hilo swali, mzazi akifungwa mtoto ananufaikaje au atapewa chakla bure sababu mzazi yuko jela? Click to expand... Kwa akili za watawala wetu huenda huo ndiyo mtazamo wao
Kadhi Mkuu 1 said: Hata mimi najiuliza hilo swali, mzazi akifungwa mtoto ananufaikaje au atapewa chakla bure sababu mzazi yuko jela? Click to expand... Kwa akili za watawala wetu huenda huo ndiyo mtazamo wao
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Aug 2, 2022 #25 Inchi ngumu hii!! Sent using Jamii Forums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 2, 2022 #26 Tomaa Mireni said: Kweli kabisa,ilipaswa kuwa hiari,hapo ni kukumbiza watoto shule Click to expand... halafu eti kuna kupelekana mahakamani, tunajenga au tunabomoa?
Tomaa Mireni said: Kweli kabisa,ilipaswa kuwa hiari,hapo ni kukumbiza watoto shule Click to expand... halafu eti kuna kupelekana mahakamani, tunajenga au tunabomoa?
feitty JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 2,594 Reaction score 4,189 Aug 2, 2022 #27 Mzazi akose 35000 kwa muhula au 70000 kwa mwaka halafu uje kumpiga faini ya 200000 ataitolea wapi??
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Aug 2, 2022 #28 Icho chakula mtakachoenda walisha hao wazazi jela, Si mpeleke huko mashuleni.