Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Ulimwengu anaingia > jabu anatoka.
Mkuu naona unachanganya majina hapa, kuweka rekodi sawa; kuna Juma Jabu anacheza beki tatu na Husein Javu alikuwa anacheza namba tisa ndo ametoka ameingia Thomas Ulimwengu.
 
enzi zipi hizo maana miaka ya nyuma Nurdin alikuwa anacheza namba mbili au Bondeni sec
Mkuu crashwise umeanza kupoteza kumbukumbu alikuwa anacheza tatu, Mbili ilikuwa ikishikiliwa na Said Sued.
 
Mkuu naona unachanganya majina hapa, kuweka rekodi sawa; kuna Juma Jabu anacheza beki tatu na Husein Javu alikuwa anacheza namba tisa ndo ametoka ameingia Thomas Ulimwengu.

okay. Majina yao yana fanana.
 
Ulimwengu anaingia >

hilo ni kosa kubwa sana. Thomas ulimwengu hana pumzi halafu anafanya madoido mwisho wa siku anaanguka chini. Yaani hapo hamna kitu amebaki jina tu. Mia
 
Timu ya mpira wa pete ya JKT Ruvu inacheza lini jamani???
mi ni mnazi wa timu hiyo na mchezo huo.
 
hilo ni kosa kubwa sana. Thomas ulimwengu hana pumzi halafu anafanya madoido mwisho wa siku anaanguka chini. Yaani hapo hamna kitu amebaki jina tu. Mia

ila anasaidia kuwachosha beki wa malawi kwa mbio.
 
Back
Top Bottom