HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Tanganyika, sio Tanzania.Ama kweli leo nimeamini Tanzania ni kichwa cha mwandawazimu, ni lini tutajivunia timu yetu ya taifa?. Cecafa senior challenge cup tumepigwa tena huko 2-1 na Rwanda ni aibu sana kwakweli.
Andika Tanzania bara ama Tanganyika. Ukisema Tanzania unawajumuisha na ZanzibarAma kweli leo nimeamini Tanzania ni kichwa cha mwandawazimu, ni lini tutajivunia timu yetu ya taifa?. Cecafa senior challenge cup tumepigwa tena huko 2-1 na Rwanda ni aibu sana kwakweli.
Hii sio taifa starsTaifa stars ni matumizi mabaya ya pesa.
Ni Tanganyika ama Tanzania BaraAma kweli leo nimeamini Tanzania ni kichwa cha mwandawazimu, ni lini tutajivunia timu yetu ya taifa?. Cecafa senior challenge cup tumepigwa tena huko 2-1 na Rwanda ni aibu sana kwakweli.
si mlishangilia sana malinzi kufungwa mkadai ndo ameharibu soka, mkasema raisu was sasa ndo jembe. sasa mnalalamika nini kwa unafiki watz hamtakaa mwendeleeTimu ya Tanzania bara, Kilimanjaro Stars imeaga rasmi mashindano ya CECAFA baada ya kufungwa na Rwanda goli 2-1.
Magoli ya Rwanda yalifungwa dakika ya 17 na 66, wafungaji wakiwa ni Innocent Nshuti na Biramahire Abeddy, Kilimanjaro stars ilipata goli dakika ya 29 kupitia Danny Lyanga
Kabla ya Rwanda, Kilimanjaro Stars walitoa suluhu ya 0-0 na Libya na kisha kufungwa na Zanzibar Heroes goli 2-1
======================================================
Kila siku liko vile vile michuano yote iko vile vile ni kupigwa na kudroo tu haina mabadiliko ya kuwapa furaha mashabiki, Kocha wao Kiswahili kirefu sana na Kiingereza chake anatuona sisi mazuzu.
Walah uzalendo wangu kwa taifa unaanza kushuka kwa sababu ya upuuzi wa hii timu.