Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
- Thread starter
-
- #21
sasa esa na kombe vinabaki hapahapa bongo. this is great...najua sasa tumepanda kiwango kwenye orodha ya fifa
weeeeeeeeeeeeeee..fifa wanahesabu hata mech za kirafiki sembuse hii? siamini kabisa unachokisema....hizi mechi FIFA hawazihesabu
Hongera Tanzania
Hongera Kikwete, tunaona matunda ya kazi yako nzuri ya kuhamasisha soka la Tanzani.
Hongera Kilimanjaro Stars.
sasa huu ushindi pongezi tumpe maximo au huyu ocha mpya?nadhani misingi yote aliiweka maximo au nyie mnaonaje?
tena alipoenda jk ndio ushindi umekuwa mgumu mno....aheri asingeenda uwanjani. na leo tungeshindw\ mbele yake tungeomba wabunge wapeleke hoja binafsi ya kumzuia asiwe anaingia kuangalia mech maana kila anapoenda tunaishiwa kufungwa isipokuwa leo tu..
Aliyebeba kombe ndio anapewa heshima
Max hana lolote wala chochote labda kuwakandamiza dada zetu!
ki-vipi?Hoja dhaifu.