Kilimanjaro: Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Kibosho Kirima -Titus Kimaro

Mungu amsimamie na kumpa nguvu huyu Mzee.

Kusema ukweli Kuna wahalifu wengi wako mitaani na watu wasiokuwa na hatia wapo gerezani, kesi za kubambikwa zimekuwa nyingi kwa maslahi ya baadhi ya wenye uwezo.
 
Ni wachaga walioamua kusilimu kwa ajili ya noti za middle and far east. Ni makobaz maslahi hao. Hapa mjini yamejaa hayo mamachaga, yanafuga ndefu Osama bin Laden cha akasome upya kuhusiana na suna.
Wachaga waislamu wapo wengi tu mkoani Kilimanjaro,Bomang'ombe,Sanya na karibu wilaya yote ya Hai wachaga waislamu ni wengi na Wacha mungu kwelikweli miaka na miaka na wala sio swala la hizo fedha za middle east.
 
Kusema ukweli Kuna wahalifu wengi wako mitaani na watu wasiokuwa na hatia wapo gerezani, kesi za kubambikwa zimekuwa nyingi kwa maslahi ya baadhi ya wenye uwezo.
Wengine wapo jela kwa kutojua sheria au kukosa uwezo wa kuwa na wakili, so sad😞​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…